Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, MD Mpya wa TANESCO ni William Mhando
0 Reactions
55 Replies
10K Views
Wakati wa mjadala wa bunge kujadili makadirio ya wizara ya sheria na katiba kuna mbunge kutoka kanda ya ziwa (sikumbuki jina lake) aliilalamikia kamati ya uratibu wa katiba ya warioba kuwa imekuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Swala la Dr Ulimboka si dogo linaweza kuangusha serikali. Hali ya nchi itakavyokuwa kesho baada ya revelation ya Mchungaji Gwajima si ya kawaida. Lets wait and see
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hapo kijijini sasa ffu wametanda tangu jioni wananchi wakulima wa pamba wanafanya fujo wakipasua vioo vya magari barabarani etc...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
DR. SLAA AT THE KAS-DAY Also available in Deutsch 50 years of worldwide democracy - under this slogan renowned politicians from Germany and across the world looked back on the "impressive success...
13 Reactions
56 Replies
6K Views
MCHUNGAJI NGWAJIMA TUNAOMBA MAELEZO Ni kweli kuna mtu alikuja kutubu na kueleza dhambi zake kwako na ukamtosa kwa kumpeleka polisi? iweje aje kanisani kwako na si kwingine au ndio uhusiano...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Amin usiamini ule usemi ukisema wa nini watu wanasema ntampata lini. Willium Le Mutuz ameweza kufanya ze shughuli ya fundrising yaani it was whassuo. Watu kibao ghosh inatisha watu kibao.
0 Reactions
42 Replies
4K Views
By ADAM IHUCHA Posted Saturday, July 14 2012 at 15:05 Tanzania plans to construct a city around its Kilimanjaro International Airport (KIA) to tap into tourism and business opportunities...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa taarifa zilizopo mitaani ni kwamba siku hizi inayonyweka mitaani ni methylated spirit na si Gongo.Hii imetokana na ghrama za kuni ,time na resources kuandaa gongo.Siku hizi ni spririt...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
. Baada ya Madaktari kutoa taarifa kwamba wataandamana, Kamanda wa polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova amesema "mtu yeyote atakaejaribu iwe ni baraza la habari la kiislamu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Saidia maskini.. saidia maskini... saidia..aliyekupa wewe ndiye aliyeninyima mimi.. hayo ni maneneno yanayoonekana kwwnye tangazo la TV, ikimuonyenya mtu amekalia stull ya dhahabu alafu ameshika...
0 Reactions
1 Replies
916 Views
Ndugu wadau wa JF, Napenda kutumia fursa hii kuwatangazia kwamba kesho kutakuwa na mkutano wa hadhara katika mtaa wa Mongolandege Kata ya Ukonga, Jimbo la Ukonga kuanzia saa nane kamili mchana...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Chama cha madaktari Tanzania-MAT kimeitisha maandamano makubwa dhidi ya serikali wiki Ijayo.Maandamano hayo yataanzia Hospitali ya Muhimbili mpaka wizara ya Afya. Sababu kubwa ya maandamano ni...
7 Reactions
150 Replies
11K Views
kuna taarifa ya kwamba polisi wapo nje ya jengo la bunge kwa ajili ya kumsubili mnyika akitoka bungeni wamkamate. source: waliopo dodoma
0 Reactions
69 Replies
6K Views
Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la ufufuo na Uzima kesho atatoa ukweli kuhusu kilichotokea kuhusu mtu aliyekamatwa. Mtu huyo anaonekana alitumwa akamteke mchungaji huyo ambaye anaikosoa sana...
1 Reactions
143 Replies
12K Views
Slaa, Lema refuse to record statements Saturday, 14 July 2012 11:42 By Mkinga Mkinga The Citizen Reporter Dar es Salaam. Police interrogated Chadema Secretary General Willibrod Slaa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimepokea kwa mshangao mkubwa taarifa kuwa eti mmoja kati ya watuhumiwa waliomteka na kumtesa dr ulimboka amejisalimisha na kuungama dhambi ya kumtesa dr ulimboka katika moja ya makanisa ya kiroho...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Gazeti la Mtanzania leo hii limetoa habari hii: Dkt. Chitage azungumzia Dkt. Namala kushitakiwa; Interns kufutiwa leseni; Hali ya Dkt. Ulimboka12/07/2012 Siku moja baada ya Rais wa MAT...
6 Reactions
56 Replies
6K Views
Hebu taja wengine unaowafahamu mimi nimewakumbuka hawa.Marehemu Edward Sokoine walimtaja mtu huyu raia wa Afrika Kusini Dumisan Dube, Stephen Ulimboka wamemtaja huyu mkenya wasiwasi wangu kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkenya huyo ambaye ni mwekezaji katika shamba la mkonge huko tanga baada ya kutishia wenye nchi kuwauwa kwa risasi alifikishwa polisi lakini baada ya mda akaachiwa. My take: Hawa wakenya vipi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…