Amekekalia stull ya dhahabu alafu anaomba very strager. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amekekalia stull ya dhahabu alafu anaomba very strager.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kurunzi, Jul 14, 2012.

 1. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 326
  Trophy Points: 180
  Saidia maskini.. saidia maskini... saidia..aliyekupa wewe ndiye aliyeninyima mimi.. hayo ni maneneno yanayoonekana kwwnye tangazo la TV, ikimuonyenya mtu amekalia stull ya dhahabu alafu ameshika bakuli la kuomba ambapo anapita mzungu anampa coin za hela na kusema anaomba huku amwekali stull ya dhahabu.,Tangazo hili limenikumbusha vile JK juzi TBC akiwa London akiomba wazungu bila hata aibu nilisikitika sana pamoja na kuvunjia suit yake ya bei.
   
 2. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Ungetuliza akili kidogo ujumbe wako ungefika vizuri...

  Sasa stull na strager ndio lugha gani???

  JK kaenda kudhuria mkutano wenye kujadili uzazi wa mpango...
   
Loading...