Sasa Spirit Inahamishwa mahospitalini na kuingia katika viroba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sasa Spirit Inahamishwa mahospitalini na kuingia katika viroba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicholas, Jul 14, 2012.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Kwa taarifa zilizopo mitaani ni kwamba siku hizi inayonyweka mitaani ni methylated spirit na si Gongo.Hii imetokana na ghrama za kuni ,time na resources kuandaa gongo.Siku hizi ni spririt zinachukuliwa katika vituo na maduka ya dawa zinapigwa water guard na wengine jic ili kuondoa rangi na baadaye kuzihifanyi katk viroba ambavyo vinapatikana kwa bei chee. Huo ndio mwendo msishangae Hiyo inayoitwa gongo inayoua watu.

  Cha kujiuliza ni yote haya hadi yanatokea kwa kiasi hichi serikai ya ccm wapo wapi?
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  khaaaa!!
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  eeeh....hii ni kutokana na vinywaji kupanda bei ama.....?
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Upofu wa halaiki sasa unatunyemelean kutokana na hizo pombe za maabara za Manzese.
   
 5. m

  matambo JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ukisikia pumba sasa ndio hizi, hivyo viroba wanavyotumia ni vile vilivyokwishatumika au? methylated spirit ya hospitali ni ethanol imeewekwa aniline dye kuifanya iwe blue na chungu tofauti na ile ethanol ya kawaida, pia jik ina harufu ya chlorine na ni asidi, nani huyo atakayekunywa kemikali zote hizo na asinotice utofauti?
  na kama ni mtu anaweza kuifanyia manouvre yote hayo spirit kiasi ikawa kama kiroba, kwa nini asiongeze mtaji kidogo akaanza kudistil spirit kutoka kwenye miwa?
  na kwa taarifa yako ile methylated spirit ya hospitali ni mchanganyiko wa ethanol, methanol na vingine so huwei kuifanya inyweke
  acha uwongo kijana!!!!!
   
Loading...