Polisi wapo nje ya Ukumbi wa Bunge wakimsubili Mnyika wamkamate! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi wapo nje ya Ukumbi wa Bunge wakimsubili Mnyika wamkamate!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lua, Jul 13, 2012.

 1. L

  Lua JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 705
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kuna taarifa ya kwamba polisi wapo nje ya jengo la bunge kwa ajili ya kumsubili mnyika akitoka bungeni wamkamate.
  source: waliopo dodoma
   
 2. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Basi tunamtakia mkamato mwema.
   
 3. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tetesi tangu jana,wamkamata tu aongeze publicity,nadhani waandishi wako standby kuona anavyodakwa na police ccm,
   
 4. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,014
  Likes Received: 1,893
  Trophy Points: 280
  Mmmh!!!!!!!!!
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,115
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Wamkamate kwa kosa gani?
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,950
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Mkuu naungana na wewe
   
 7. A

  ALLYHASSANY New Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata wakimkamata hatatoka tu,dr 2ko pamoja mpaka kwenye harusi yako na kuapishwa urais 2015
   
 8. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,179
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  KIBANGA AMPIGA MKOLONI, Huu ndo uliku uungwana bana sio siku hizi tunapelekana kama wake wenza juu ya mapenzi yetu kwa TANZANIA? Ila........
   
 9. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,710
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Mmh! yaelekea hao policcm wa dodoma hawamjui Mnyika maana tangu jana tunaambiwa wanamsubiria nje ya bunge wamkamate sasa inamaana mnyika alilala ndani ya bunge hakutoka?? :confused2:
   
 10. k

  kitero JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona ni jambo la kawaida kwa mpambanaji yoyoye yule kukumbwa na misukuko suko.Wale wasio wapambanaji hawawezi kukumbana na dhoruba kama hizi.Wakaze buti karibia wanakaribia kufika nchi ya ahadi.
   
 11. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,054
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Fine because "A seed must die in order to grow".
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Si naye akatae kuhojiwa kama Mabandidu wengine wa cdm? Nimeona mahali huko Mbeya Mwenyekiti wa CDM naye amekataa kuhojiwa na Polisi.
   
 13. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,255
  Likes Received: 7,077
  Trophy Points: 280
  Nimeomba sana kila mara kuwe na mahali maalumu pa kuwatukana watu wanaotukosea lakini Mods wamekaa kimya, sasa haya ni maisha gani ya kuwindana namna hii? Pumb...fu zao kabisa
   
 14. A

  Adu gida Member

  #14
  Jul 13, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kwanini wacmchukue ndani kumsubiri haisaidi manake kama atoki au ndiyo usani

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 15. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 706
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Kaazima Baibui,
  Huyoo kawatoka kama mbunge wa Zanzibar.

  Leo atatia bargashia na kuwatoka kama babu mzee.

   
 16. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,684
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Tangu juzi wanamsubiria tu nje ya ukumbi wa bunge? Mbona itakua kazi!
   
 17. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,255
  Likes Received: 7,077
  Trophy Points: 280
  Nashukuru sana kwa kukosa nafasi ya Upolisi maana ningekua nimeshafukuzwa kazi zamani sana, siwezi kutumikia ujinga huu, Tanzania yetu maskini weeee
   
 18. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,958
  Likes Received: 887
  Trophy Points: 280
  Mediocrity in our thinking...kama mambo yanaenda hivi yanavyokwenda it does not need a genius to predict its end. Kwani USSR walikuwa hawajui au hawakuona where they were heading? Ila basi ni dharau na dharau na dharau mwisho wake kila kitu kikawa hakiwezekani kufanyika.
   
 19. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,505
  Likes Received: 534
  Trophy Points: 280
  Ndo upumbavu wa siasa.
  Napajua ukaapo, ndipo penye kiti cha enzi cha shetani; nawe walishika sana jina langu, wala hukuikana imani yangu, hata katika siku za Antipa shahidi wangu, mwaminifu wangu, aliyeuawa kati yenu, hapo akaapo shetani.
   
 20. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,689
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mhhhhhhhj......
   
Loading...