Makamu Mwenyekiti Chadema Taifa Kuunguruma Ukonga Kesho 15/07/2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamu Mwenyekiti Chadema Taifa Kuunguruma Ukonga Kesho 15/07/2012

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwita Maranya, Jul 14, 2012.

 1. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Ndugu wadau wa JF,
  Napenda kutumia fursa hii kuwatangazia kwamba kesho kutakuwa na mkutano wa hadhara katika mtaa wa Mongolandege Kata ya Ukonga, Jimbo la Ukonga kuanzia saa nane kamili mchana. Mkutano huo umeandaliwa na uongozi wa Chadema Kata ya Ukonga.

  Mgeni wa heshima katika mkutano huo atakayeongoza mashambulizi jukwaani atakuwa ni Kamanda Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Zanzibar).

  Wadau wote wa kata ya ukonga, kata nyingine za jimbo la ukonga, pamoja na wanademokrasia wote toka majimbo jirani ya segerea, ilala na temeke mnakaribishwa sana.

  M4C with no apology!
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  saaaaaaaaaafiiiiiiiiiiiii....
   
 3. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Niliona juzi Mbunge wa Ukonga analialia Bungeni kwamba anataka 2015 awepo mjengoni....nilimuonea huruma mno
   
 4. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,812
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  Sasa hivi moto wa mageuzi uwake pande zote zote ili magamba yakose pa kushika!!
   
 5. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mie nimefarijika kuona ni kata ndio wameitsha mkutano huo. hii ina maana ukombozi unakuja sasa Tanganyika
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ataunguruma Kizenji?
   
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  M4C Daima!
   
 8. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Zomba kazana kufundisha na kuwashika wanafunzi kwa akili zako hizi ni dhahiri unawaza kama Chemba Mgulu maana hata ukisoma ila ukawa mwana CCM lazima uwe kizomba zomba .Kazana labda unaweza kupata u VC hapo Chuoni siku za usoni ial sijui lini maana CCM inaishia .
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ntaendelea kutoa darsa wala hilo usiwe na hofu nalo, nadhani hata wewe unajifunza mengi humu JF.
   
 10. Ndekirhepva

  Ndekirhepva JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Magamba wamefyata..
   
 11. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145

  Ben Saanane huyo mama hata wanaccm wenzake hawataki kumsikia.
  Kurudi mjengoni 2015 ni ndoto za alinacha.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145

  Bruker katika jimbo letu la Ukonga tumekubaliana kwamba uongozi ngazi ya kata ndio wasimamie zoezi la kuieneza M4C. Na hadi sasa tumeshafanya mikutano kama hii katika kata za kitunda, majohe, chanika, pugu na Ukonga. Hii ni mara ya pili kwa kata ya Ukonga kuwa na mkutano ndani ya kipindi cha miezi miwili.
  Ni dhahiri kwamba watu wameamua kufikisha elimu ya uraia na ukombozi kwa nguvu zote. Kinachotakiwa ni kuwaunga mkono tu ili moto uendelee kuwashwa!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #13
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145

  zomba mbona unauliza maswali kama miongozo ya migulu mchemba akiwa mjengoni!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. k

  kubenafrank Member

  #14
  Jul 14, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Big up cdm,aluta continua viva cdm
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Basi ataunguruma kibara! Natamani nisikilize anavyoiga sauti za wachungaji wa kondoo wa bwana, kama afanyavyo Slaa na Mbowe na wengineo.
   
 16. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu mbona hamchapishi kapelo,bendera,scarf nk watu wanahitaji sana kama kjjn kwangu pale
   
 17. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Tehe tehe tehe.
  Karibu sana zomba kesho umsikilize mpemba mwenzako anavyokandamiza kibara.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. M

  Molemo JF-Expert Member

  #18
  Jul 14, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Pamoja sana Kamanda....
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Nilimsikia siku moja akiongea huko ITV ni kizenji kabisa, halafu ataweza kuiga wachungaji? kwi kwi kwi teh teh teh.
   
 20. t

  thatha JF-Expert Member

  #20
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Huyu ni bendera tu hana lolote,mzanzibari na chadema wapi na wapi.chadema na mchaga plus church mzanzibar aende zake kupiga rakaa hukooo masjid,kaingia choo cha kike huku
   
Loading...