Mchungaji Gwajima Kuueleza Umma Kesho kuhusu Mkenya wa Ulimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchungaji Gwajima Kuueleza Umma Kesho kuhusu Mkenya wa Ulimboka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Jul 14, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la ufufuo na Uzima kesho atatoa ukweli kuhusu kilichotokea kuhusu mtu aliyekamatwa. Mtu huyo anaonekana alitumwa akamteke mchungaji huyo ambaye anaikosoa sana serikali. Kama unaweza hudhuria ibada ya kesho pale Tanganyika Packers
   
 2. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  atujuze atujuze
   
 3. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwa hivyo anatumia jukwaa la kanisa kutoa tamko??-ubabaishaji mwingine huu.
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  oooooh, kumbe ni vile vikanisa vyetu pale Tanganyika packers? Hivi ni vikanisa vya CCM na mara nyingi kila Jumapili vinakuwa na mgeni rasmi toka CCM kutoa neno! Kwa maana hiyo hivi vikanisa ni idara ya TISS? Watu hawaogopi kumchezea mungu!
   
 5. King2

  King2 JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wamemuhonga shilling ngapi huyo mchungaji.
   
 6. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Mchungaji uchwara anayeweza danganya watu waliokata tamaa ya maisha!
   
 7. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Huyu naye si ni mkenya au ni wa wapi?
   
 8. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hawa wachungaji njaa hawa daah!
   
 9. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,515
  Likes Received: 5,650
  Trophy Points: 280
  Ajiandae kutishwa,lakini kama yupo nao maneno yake yatamhukumu!
   
 10. Asa'rile

  Asa'rile JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jamani please Don't touch these People of God....si tusubiri tusikie atachosema?..
  ..........ila hapo,. ni bonge la ministry Advertisement
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hata ukiachilia mbali mahusiano ya kanisa hili na ccmagangster au TISS, utaona kuwa Ma'agent wanatumia nafasi hii kuvuta watu waende kanisani wakatoe sadaka zaidi, wawafaidishe wachungaji na familia zao.
   
 12. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,570
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  Msimshambulie mtumishi wa Mungu, sio yeye, subordinates wake wameshtukia, hahusiki kabisa na utapeli huu! TISS wa std 7
   
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  Jul 14, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Yaani imefikia mpaka wanawatumia viongozi wa dini kuupotosha umma! ccm choka mazee!
   
 14. w

  why JF-Expert Member

  #14
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 203
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tangu lini mchungaji akatangaza dhambi za waumini wake waliokwenda kutubu dhambi?????????????????
  HAYA NI MAGUMASHI KABISA HILI SIO KANISA ILA KITENGO CHA USALAMA WA TAIFA.HIYO NJAMA YA CCM
   
 15. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Noted....
   
 16. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,570
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  Mungi, jamaa hawahusiki kabisa, ni waj.i.nga wanataka kuchafua makanisa! Msaidizi wake kesha onya matapeli hawa!
   
 17. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ndugu yangu nakwambia sasa hivi acha kabisa. Ukistaajabu ya Said Mwaipopo utaona ya Mchungaji Gwajima sasa
   
 18. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #18
  Jul 14, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  gwajima mwizi anatumia chance hyo kutangaza kanisa lake
   
 19. Mpitagwa

  Mpitagwa JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,298
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Huyo mchongaji oh no mchungaji ni walewale, nani anajua alivyopata lile eneo la serikali? Nani anajua kilichochini ya pazia dhidi ya kipindi chake cha kuita wanaCCM kupiga story sijui kuombea? This is a childish game
   
 20. Asa'rile

  Asa'rile JF-Expert Member

  #20
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Touch not People of God, tusubiri kesho
  ..Ila ni bonge la advertisement ya kanisa...baada ya Amina chifupa...sasa..Mkenya ...aisee
   
Loading...