Mkenya atishia kuua wanachi kwa bunduki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkenya atishia kuua wanachi kwa bunduki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by thatha, Jul 14, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Mkenya huyo ambaye ni mwekezaji katika shamba la mkonge huko tanga baada ya kutishia wenye nchi kuwauwa kwa risasi alifikishwa polisi lakini baada ya mda akaachiwa.

  My take:
  Hawa wakenya vipi, wanaitakia nini tanzania yetu,ni jana tu tumeambiwa mkenya amekamatwa kwa kumteka dr ulimboka.chanzo cha taarifa hii ni ITV.
   
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mwanangu tatizo si mkenya bali watanzania wenyewe. Angalia polisi walivyomtoa upepo na kuachiwa.

  Kwanini wananchi husika hawakuwachukulia hatua polisi na mkenya wao kama hawakuridhika?

  Ajabu wananchi hao hao wana ujasiri wa kuwachoma moto vibaka wasio na hatia kubwa lakini wanashindwa kuwashughulikia hao wanaowahujumu hasa kama ilivyoelezwa kwenye uzi hapo juu kama ni kweli.
   
Loading...