Hili ndio tamko la polisi kuhusu maandamano ya madaktari. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili ndio tamko la polisi kuhusu maandamano ya madaktari.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gumzo, Jul 14, 2012.

 1. G

  Gumzo JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG].
  Baada ya Madaktari kutoa taarifa kwamba wataandamana, Kamanda wa polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova amesema "mtu yeyote atakaejaribu iwe ni baraza la habari la kiislamu au hawa MAT (Madaktari) wasijaribu kufanya hayo maandamano kwa sababu hatuwezi kuruhusu makosa yatendeke"

  Ameweka wazi kwamba "natoa onyo kali wasiandamane kwa sababu maandamano......
  KWA HABARI KAMMILI BOFYA HAPA
  http://moses-ayoub.blogspot.com/2012/07/hili-ndio-tamko-la-polisi-kuhusu.html
   
 2. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Sipendagi kubofya ma-link,
  we acha tu!
   
 3. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kwanza hili jambazi sugu sitaki hata kuona sura yake
   
 4. p

  panzi Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Kova acha kutumiwa na ww
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Unaboa sana hujui na hizi link zako za blog,kama hutaki kuweka taarifa yote hakuna haja ya kupost
   
 6. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Nani anamtumia?
  ye anashirikiana na majambazi, wafanyabiashara ya madawa ya kulevya,
  Hii regime lazma ahakikishe inakuwepo ili aweze kusavaivu
   
Loading...