KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 274
Hebu taja wengine unaowafahamu mimi nimewakumbuka hawa.Marehemu Edward Sokoine walimtaja mtu huyu raia wa Afrika Kusini Dumisan Dube, Stephen Ulimboka wamemtaja huyu mkenya wasiwasi wangu kama hali ndio hii nchi yetu haiko salama.