Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo viongozi waandamizi wa chadema Dr Slaa,Mnyika,Mbowe na Lema wametangaza kufuatiliwa kwa madhumuni ya kuuwawa na wanaoamiwa kuwa ni usalama wa Taifa kwa madai wako nyuma ya mgomo wa...
4 Reactions
66 Replies
6K Views
Baada ya tuhuma nzito ya moja ya chombo cha serikali TISS tunatarajia serikali kuwafungulia mashtaka wakati wowote kutoka sasa. Hii ni defamation kwa serikali na kama serikal haitachukua hatua...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Huyu waziri ambaye inasemekana ni ndugu wa mbali wa mkuu wa kaya ni magumashi kabisa, kama alivyo huyo jamaa yake. Wote wawili ni mafundi wakubwa wa kupasia mipira, hawataki kukaa nayo. Mpira wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana ndugu na wana jf wenzangu,ninasikitishwa sana na baadh ya vyombo vya habari,na baadh ya wanajf wanaorusha thread za kutetea ukabila,ukanda na udini humu jamvini.siamini kama haya ni ku2weka...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakati akitoa ufafanuzi kuhusu tishio la Marekani kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Tanzania, kutokana na nchi hiyo kuruhusu Iran kupeperusha bendera yake kwenye manowali zake za mafuta, waziri wa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
...pamoja na matusi, kejeli na kashfa zinazotolewa dhidi ya CHADEMA na viongozi wake ukweli unabaki pale pale kuwa maisha yanazidi kuwa magumu. Wale wote wanaoisifia ccm hapa ukumbini na...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Bado tunaendelea kusisitiza Zito arudi kundini. Ni ukweli kwamba Zito ananafasi kubwa sana katika siasa za nchi hii ila bado bado kuna sintofahamu ya ukweli kwamba Zito yupo wapi Katika hili...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Ndugu zangu, NCHI yetu ingali katika huzuni ya uwepo wa mgogoro kati ya madaktari wetu na Serikali yetu. Ni huzuni iliyochanganyika na hofu na mashaka. Suluhu ya kushikana mikono...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Napenda kufahamu kwa wabunge hasa wale wa kanda wanazolima Pamba kwa kauli yao Bila buku (1,000/=) hakuna kilo ya Pamba. Sasa nauliza hawa wabunge kwa kushindwa kwa kauli mbiu yao watakubali...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Watanganyika tuwe na misimamo mingine ambayo ni ya kizalendo kama hoja hii ya Tundu Lissu Bungeni. Nmeipenda hoja ya Tanganyika. Kama Wazanzibari wameweza kujitoa katika muungano na wakawa na sera...
4 Reactions
98 Replies
10K Views
Nimekuwa nikafatilia watu mbalimbali wakitoa maoni juu ya mgomo wa madaktari, ni maoni mazuri yenye kuleta changamoto za hapa na pale, vilevile ni maoni yanayoonesha sura tatu tofauti kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamiiforum, ni matumaini yangu kuwa nyote mu wazima wa afya, kilammoja anaendelea na shughuli za kutimiza malengo yake ila kama pia si mzima basi ni vema kumshukuru mungu pia kwa...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Nimekuja kuamini kuwa chadema kwa Dar es salaam ni kama kuchora kwenye maji Naona lema anaangaika Dar kukusanya watu alikini anatoka patupu sijui inakuwaje chama hakikubaliki Dar es salaam...
2 Reactions
76 Replies
6K Views
Mkoa mzima wa Dar Es Salaam una mbunge mmoja wa jimbo la Ubungo, Mh. John John Mnyika! Anayebisha amtaje mbunge mwingine kama yupo tofauti na Mnyika.
0 Reactions
44 Replies
4K Views
MWANASHERIA Mkuu wa Zanzibar Othman Masoud Othman ameshangazwa na mwanasheria mwenzake Tundu Lisu kwa kutofahamu madhumuni na malengo ya mabadiliko ya katiba ya Zanzibar yaliozaa serikali ya umoja...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Watanzania tulipotoka ,tulipofikia na tunapokwenda tuna hitaji umakini katika maamuzi magumu ya kubadilisha mfumo mzima wa uongozi wetu ili ulete tija kwa ustawi wa taifa na watu wake.Tumekuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wabunge wa CCM ni watoro wa vikao vya Bunge na Dr. Slaa anaelezea athari za utoro huo: Video kwa hisani ya chadematv ya Youtube
0 Reactions
5 Replies
2K Views
leo ktk taharifa ya habari saa 2, wametangaza mgogoro mkubwa uliofanywa na wagombea wa kata, uko moro kutokana majina ya wagombea kutoonekana na kuwekwa majina ya watu wengine wasiousika.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
makamanda segerea leo
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nchi ya Kijamaa, iliyojiandaa barabara chini ya Chama, ina nguvu za Kimaendeleo. Wazembe, wavivu na wapinzani wa nguvu hizo, hupondwa-pondwa na kusagwa-sagwa wasionekane aateeni!” Ndugu zangu...
0 Reactions
2 Replies
989 Views
Back
Top Bottom