Wajumbe wa CCM Kijitonyama wafakamia Bia kabla ya kwenda kwenye Uchaguzi!

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
Baadhi ya Wajumbe uchaguzi wa CCM kata ya K'nyama ambao unafanyika katika Ukumbi wa Utoji uliopo Sinza wameonekana dhahiri asubuhi hii wakifakamia Bia na Viroba aka "LAPTOP" huku wengine wakiweka katika chupa za maji kabla ya kuingia katika Uchaguzi wa kata! kwa mtakaokumbuka mwisho wa wiki iliyopita uchaguzi katika kata ya Kawe ulitumbuka nyongo baada ya wajumbe na Wagombea kupigana kwa viti na ngumi kavu kavu. Sijui leo itakuwaje kwani wajumbe wa Kijitonyama ni watu wanaojiweza hivyo wengi wao wanaweza wakawa na "MANATI YA KIZUNGU" aka Bastola. TEGENI MASKIO...
 
Wacha wakaumane tuliona kawe,temeke na maeneo mengine hiyo ndiyo tabia yao.
 
Baadhi ya Wajumbe uchaguzi wa CCM kata ya K'nyama ambao unafanyika katika Ukumbi wa Utoji uliopo Sinza wameonekana dhahiri asubuhi hii wakifakamia Bia na Viroba aka "LAPTOP" huku wengine wakiweka katika chupa za maji kabla ya kuingia katika Uchaguzi wa kata! kwa mtakaokumbuka mwisho wa wiki iliyopita uchaguzi katika kata ya Kawe ulitumbuka nyongo baada ya wajumbe na Wagombea kupigana kwa viti na ngumi kavu kavu. Sijui leo itakuwaje kwani wajumbe wa Kijitonyama ni watu wanaojiweza hivyo wengi wao wanaweza wakawa na "MANATI YA KIZUNGU" aka Bastola. TEGENI MASKIO...

fuatilia ujuwe kama hizo bia na 'laptop' wamenunua wenyewe au 'wamenunuliwa'.
 
Kila mmoja alikuwa anajilipia mwenyewe,ila wengi wao haswa kina Mama walikuwa wanajizungushia "Round" wenyewe yawezekana labda kuna kamgao kalipita kabla. JAMBO MOJA: Wengi ni wasafi sana kimavazi na wengi wamekuja na Usafiri wao wenyewe! Tofauti na wale wa Kawe sikujua kuna Wana-CCM WASAFI kimuonekano na WANANUKIA.
 
Ha haaaa sasa hapo maamuzi yao kwenye uchaguzi si yatakuwa yaki Laptop laptop ,watamlaumu nani ?
 
Wajumbe wengi wanazungukazunguka katika Baa zinazozunguka Ukumbi wakipeana Mikakati,huku wakizinywa Bia kwa mtindo wa "TUMGIDIE B.W.E.G.E"
 
Sasa hivi kuna Vigroup mbali mbali vimekaa vinagawa Rushwa ya Round kwa kwenda mbele.
 
mkuu

Laptop zilikuwa za brand gani , kiroba original, Konyagi, Zed au Dollars
 
Ha ha ha haaaaaaaaaaa yaani wanatumia fire extinguishers na Laptop! Hawa jamaa kiboko
 
Huku kwangu kesho ndio wanachaguana lakini usiku wa kuamkia leo hawakulala kutembeza rushwa, nilikaa kwenye bar moja iko barabarani mpaka saa 6 sita usiku wagombea walikuwa wanashindana kutoa rushwa.

Bado kuna kitu sijakielewa, hivi uongozi wa ngazi ya kata wanahongana pesa kiasi hiki je ni nini kinachowavutia? au ni ile miradi ya kulaza magari kwenye viwanja vya CCM? au ni zile fremu za maduka kwa baadhi ya ofisi za CCM!? AM CONFUSING.
 
Back
Top Bottom