Mitihani ya medical students wa MUHAS last week iliipa kiburi serikali..........

Chibenambebe

Senior Member
Mar 27, 2012
148
25
Kama ambavyo tulishuhudia vyombo vya habari last week vikiripoti kupungua kwa makali ya mgomo wa madaktari na kuelezea kuwa huduma zikirudi katika hali ya kawaida, kumbe hali hii ilitokana na wanachuo wa udaktari chuo kikuu cha Muhimbili kuwa katika mtihani yao ya kumaliza semister. Katika kipindi cha wiki zima wanafunzi wa mwaka wa nne na mwaka wa tano pamoja na madaktari bingwa ambao huwa ndio wasimamizi wa mitihani hii walionekana huku wakiwa wamevalia makoti ya udaktari na kuonekana wakiongea na wagonjwa wakati wakichukua maelezo ya wagonjwa. Kipimo halisi cha ukali wa mgomo huu tutegemee kukipata wiki hii ambapo wale medical students wameshamaliza mitihani yao.
So stay tuned this week!!!!!!!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom