Kama hawa ndo tumewapa mamlaka ya kusimamia sheria zetu, Kazi tunayo............... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama hawa ndo tumewapa mamlaka ya kusimamia sheria zetu, Kazi tunayo...............

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chibenambebe, Jul 8, 2012.

 1. C

  Chibenambebe Senior Member

  #1
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama wao ambao ndo wanamamlaka ya kusimamia sheria na ndo wanakuwa wa kwanza kuzivunja,Je wanaweza kumsimamia mwananchi wa kawaida kweli? Angalia mwenyewe na uongezee makosa waliyo kiuka.
  1. Wako kwenye mshikaki
  2. Jamaa wa kati hana helmet
  [​IMG]
   
 2. i

  iseesa JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Na huenda huyu mwenye TUKU TUKU asilipwe pesa zake
   
 3. Kizamani

  Kizamani JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa namana wanaovoongalia inawezekana kabisa wameshakunywa viroba.
   
 4. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,128
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 280
  Mshikaki na kutovaa helmet kwenye pikipiki ni kosa kubwa barabarani. Kitendo hiki cha mapolisi kinawakilisha tabia iliyokithiri hapa nchini ya wale wanaotakiwa kuonyesha mfano wa mwenendo bora wanakuwa ndo waharibifu wakubwa. Kwa mfano: baadhi ya waalimu, badala ya kuwalea wanafunzi wa kike, wanawapa mimba, baadhi ya viongozi badala ya kupeleka maendeleo kwa wananchi, wanapeleka kwa familia na wapendwa wao. Uvunjaji wa sheria na maadili ndio ugonjwa wetu mkubwa uliotufikisha watanzania kwenye huu uozo tulimo.
   
 5. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Wako kazini bana, wanatoa demo ya mshkaki kwa msiojua!
   
Loading...