Akili Ndogo na Kubwa

ikitururu

Member
Sep 19, 2010
8
0
[h=2]Robin Williams aliwahi kusema 'tatizo ni, Mungu alimpa mwanaume ubongo na uume na damu tu ya kutosha kuendesha kimojawapo kwa wakati mmoja pekee' .....je hili linaweza kuwa na uhusiano na mustakabali wa taifa letu pale inapotokea kuwa damu ya vingozi walio wengi inaenda mara nyingi kwa uume na kuucha ubongo ukiwa haujui la kufanya? kuacha akili ndogo ziendelee kutawala kutumia msukumo wa damu uendako? ni mtazamo tu![/h]
 
Nina mashaka na uelewa wako........... Ina maana wewe ulikuwa hujui jambo hilo?
 
Back
Top Bottom