UKATA: DR Ulimboka Kurudishwa Nchini

Status
Not open for further replies.

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Kutuka katika chanzo cha kuaminika huko Ujerumani katika Hospital ya Max Grundig Hospital Baden-Baden,
Dr ulimboka ameobwa kulejea nyumbani na kumalizia matibabu yake hapa nchi hii ni kutokana na kulemewa na
mzigo wa bill za hospital.
Hiki chanzo cha kuaminika kinasema michango waliyotoa madaktari wakimchangia na kujikamua hakutosha na haitatosha
maana Hospital ya Max Grundig Hospital Baden imekataa kupokea hela kwa mafungu mafungu mfano bill ni $5000 jamaa wanalipa $2000 wanasema nyingine inakuja

Kama Madoctor hawajataka msaada wa serikali katika hili yatawatokea puwani maana muda si mrefu atarudi kutoka aliko

SOsi ;Chanzo cha kuaminika

Soma habari ya Mwananchi ya Tarehe 7/7/2012
Madaktari wakiri hali ya Ulimboka mbaya

WAENDELEA KUCHANGISHANA FEDHA ZA MATIBABU, MUHIMBILI, MOI BADO HAKUJATULIA, SERIKALI SASA YAWASHTAKI MMOJA MMOJA KWENYE BARAZA LAO
Katika hatua nyingine, madaktari wanaendelea kuchangishana kwa ajili ya matibabu ya Dk Ulimboka na katika awamu hii ya pili, imeelezwa kuwa takriban Dola za Marekani 30,000 zinahitajika.

Dk Mkopi alikiri madaktari hao kuendelea kuchangishana lakini hakuwa tayari kueleza kiasi ambacho kimepatikana mpaka sasa
 
Kwanini unafurahia akirudi?Hicho chanzo chako wewe nina mashaka nacho, huwezi ukawa unamtafuta kwa nia njema wewe.
 
Ndio Kamanda Ahmed Msangi. Kama wewe ndio Great Thinker wa CCM basi itakufa mapema kuliko wengi wetu tunavyotarajia. Wenzio tulipokuwa tunasoma Elimu dunia wewe ulikuwa unang'ang'ania tu Elimu akhera matokeo yake hata kiswahili tu kinakushinda....Kajipange upya
 
Hawa ndo wauwaji wenyewe unatka kuhakikisha alipo?janja ya nyani hyo akili ndogo..pttuuu!!
 
Haya nenda kakoje ukalale sasa naona shibe inakufanya uandike mpaka ndoto zako unazoziwaza
 
Naamini kuwa hali ya Dr Ulimboka haijatengemaa ila siwezi kuamini kuwa anashindwa kulipa hizo bills.
Niko tayari niuze hata wale mbuzi wa urithi niliopewa ili apone.

MAT wana wafadhili wa kutosha na wasingeweza kumpeleka nje bila uwa na back up plan.

Ila kama unaombea afe hilo ni mpango wa Mwenyezi Mungu na hata akimchukua haiwezi kuondoa doa kwa serikali kuwa imeshiriki kumuondoa mpambanaji wetu kama ilivyowaondoa wengine wengi akiwemo Mwl. NYERERE
 
Max Grundig Clinic near Baden-Baden (15 km) is famous for combining highly effective medicine with individual care and sophisticated service. This concept unites a modern, non-surgical approach to prevention, primary care and rehabilitation with an understanding of the connection between mind and body. The location in the Black Forest offers unparalleled surroundings and the ambience of a luxury hotel, creating the ideal atmosphere for convalescence and recovery.
Major treatment areas:

  • Preventive medicine
  • Internal medicine
  • Rehabilitation medicine
  • Sports medicine
  • Psychosomatics
  • Oncology, Hematology
  • Rheumatology
  • Gastroenterology
  • Cardiology

  • Thanks
Reactions: FJM
Kutuka katika chanzo cha kuaminika huko Ujerumani katika Hospital ya Max Grundig Hospital Baden-Baden,
Ungejua kuwa hayuko huko Ujerumani usingejisumbua kuleta umbeya wako hapa.
Hebu tafuta jukwaa la udaku mkasengenyane huko.
 
Kutuka katika chanzo cha kuaminika huko Ujerumani katika Hospital ya Max Grundig Hospital Baden-Baden,
Dr ulimboka ameobwa kulejea nyumbani na kumalizia matibabu yake hapa nchi hii ni kutokana na kulemewa na
mzigo wa bill za hospital.
Hiki chanzo cha kuaminika kinasema michango waliyotoa madaktari wakimchangia na kujikamua hakutosha na haitatosha
maana Hospital ya Max Grundig Hospital Baden imekataa kupokea hela kwa mafungu mafungu mfano bill ni $5000 jamaa wanalipa $2000 wanasema nyingine inakuja

Kama Madoctor hawajataka msaada wa serikali katika hili yatawatokea puwani maana muda si mrefu atarudi kutoka aliko

SOsi ;Chanzo cha kuaminika

Soma habari ya Mwananchi ya Tarehe 7/7/2012
Madaktari wakiri hali ya Ulimboka mbaya

WAENDELEA KUCHANGISHANA FEDHA ZA MATIBABU, MUHIMBILI, MOI BADO HAKUJATULIA, SERIKALI SASA YAWASHTAKI MMOJA MMOJA KWENYE BARAZA LAO
Katika hatua nyingine, madaktari wanaendelea kuchangishana kwa ajili ya matibabu ya Dk Ulimboka na katika awamu hii ya pili, imeelezwa kuwa takriban Dola za Marekani 30,000 zinahitajika.

Dk Mkopi alikiri madaktari hao kuendelea kuchangishana lakini hakuwa tayari kueleza kiasi ambacho kimepatikana mpaka sasa

Dr Ulimboka amefanyiwa unyama wa kutisha na hadi sasa hakuna hatua zozote za maana zimechukuliwa na serikali kuchunguza mazingira ya mkasa huu. Hii habari uliyoweka hapa si tu ya kuingilia uhuru wa mgonjwa lakini ni sawa na kumfanyia unyama Dr Ulimboka kwa mara ya pili. Sick and pure evil.
 
Kwani ni lazima utuletee hisia zako za kinyama hapa? Ulimboka kapelekwa kutibiwa kwa pesa za michango. Kuna kosa gani kwa waliomchangia kuendelea kumchangia? Tafuta sifa nyingine, hii ya uchawi umeshaipata
 
jeykey ni mchawi? mbona ui wake unsadifu uchawi? Mungu atmlipa kadiri anvyostahili!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom