Josephine ndani ya Geita

Status
Not open for further replies.

ruhi

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
3,735
5,400
Mi nikiwa mgeni katka mji wa Geita leo tarehe 07/07/2012 saa kumi jioni ktk vwanja vya magereza Geita mjini ndipo alipowasili mke wa katibu mkuu wa CHADEMA Dr. SLAA alianza kuhutubia na kuwapa wanaGeita mbinu za kuhoji pesa zao kutoka halmashauri ya mji wa Geita.Pamoja na mengi mazuri aliyoyasema kwa kweli nimeona utofauti wake na wanasiasa wengi kwani yeye ameongea kama mwanaharakati zaidi.Alikua na uwazo mkubwa wa kuambia wananchi ukweli kwani watu wote walikua wakiuzunika wa ukweli waliokua wanaambiwa kuhusu GGM NA CCM na vifo vya raia vinavyotokea ktk mgodi wao bila serikali kuwajulisha kwa kweli amewapo somo la kutosha na wananchi wameonekana hawana uchungu na afya duni,elimu mbovu,miundombinu mibovu na uonevu wa mapolisi wa mgodini
 
Yah wananchi wa Geita wanahitaji watu wa kuwaeleza juu ya haki zao.Wanaishi juu ya utajiri mkubwa sana ila wao ni maskini wa kutupa huku mzungu akibeba dhahabu yao na kuwaacha wao na matatizi yao.Cha muhimu hapa ni kilichoongewa na si aliyeongea ninyi vibaraka wa Nape.
 
Huyu mama jina lake ni Josephine. Wananchi walipenda ujumbe wake, na hiyo inatosha.
Hivi na yeye anapata posho za safari, na huko anakwenda kwa gharama za nani? Tunaomba ufafanue kama kuna malipo ili na wengine wajitokeze.
 
Hana jipya huyo,matatizo ya wana Geita yapo tangia siku nyingi hana uwezo wa kuwanasua zaidi ya jitihada za wanaGeita wenyewe.Kama ni mwanaharakati tungemuona kabla ya kuwa na Mh.DR
 
Hana jipya huyo,matatizo ya wana Geita yapo tangia siku nyingi hana uwezo wa kuwanasua zaidi ya jitihada za wanaGeita wenyewe.Kama ni mwanaharakati tungemuona kabla ya kuwa na Mh.DR

Hilo ndiyo tatizo lenu mnaongea bila kufanya utafiti,kwa taarifa yako sikuanza jana uwanaharakati.
Issue ni kwamba umenijua baada ya kuwa na Dr,sasa kaa kimya wanaonijua wazungumze.

Mnaobeza juu ya mke au mchumba hamna sera,maneno yenu hayatazuia harakati zangu.

Huu si mda wa kusikiliza propaganda ni wakati wa kuitafuta Tanzania Mpya Tuipendao.kazi yangu ni kuwaambia nini wanapaswa kufanya ili wapate wanachotaka.

Mnawaza posho kwa sababu akili zenu zinawaza wizi kila kukicha,ninamikono miwili nafanya kazi na kazi yangu inauwezo wa kuniwezesha.

HAKUNA KULALA MPAKA TANZANIA MPYA TUIPENDAYO INAPATIKANA.
 
Swala la posho ni muhimu sana, lazima tujue au umesahau hizo hela ni za walipa kodi, Tunaomba utueleze gharama za safari zinalipwa na nani? na kama ni chama basi wewe ni kama nani mpaka uwekewe fungu la safari?

Tanzania mpya haiwezi kuja kama na nyie mnaendelea na mambo mnayo yapiga vita.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom