Mwalimu wa shule ya msingi anyofolewa mkono na wananchi hv sasa yupo mahututi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu wa shule ya msingi anyofolewa mkono na wananchi hv sasa yupo mahututi.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jasho la Damu, Jul 8, 2012.

 1. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha, Inahuzunisha, Inatisha na kuvunja moyo wa watumishi wa h/m ya wilaya ya Ngorongoro wanaofanya kazi maeneo ya kabila la wasonjo(kule kwa babu wa kikombe)
  Tukio hilo la kunyofoa mkono wa mwl wa shule ya msingi rera,Digodigo kijiji jiran na samunge kilitokea jana mchana baada ya kutupiana maneno ya kejeli kati ya mwl huyo na wasonjo hao. Ikumbukwe hili si tukio la 1 kutokea hapa sonjo alishawai kukatwa mapanga na kupigwa nusu ya kufa Afisa tarafa ya sale hk serikali ya (w) ikiyafumbia macho matukio hayo bila ya kuchukua hatua zozote wala kutamka lolote. Tumechoshwa na matukio haya tunaomba serikali kuu ichukue hatua sasa maana DC na kurugenz yake wameshindwa.
   
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,348
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  Kubishana na mtu huku ana kisu kiunoni na rungu mkononi ni hatari sana, hari ya matibabu huko kwenu ikoje?
   
 3. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hali ya matibabu ni mbaya sana maana hospital tunayotegemea ni moja tu hospital ya waso nayo huwa na clinical officer m1 tu kwa siku.
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nae huenda yupo kwenye mgomo
   
 5. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,391
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  Kuna msitu wa mabwepanda huko au ilikuwa hadharani mkuu
   
 6. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,201
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Sasa chaki atashikaje??
  Au atashikia chaki mdomoni!!?
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,488
  Likes Received: 836
  Trophy Points: 280
  Pole yake ila katika hali ya kawaida, unapaswa kuangalia unayebishana naye yuko katika hali gani hasa kichwani. Kama kuna gap kubwa kati yako na yeye wala usipoteze muda wako, kaa kimya tu!!!!!! HAmuwezi kuelewana!!!!
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 41,916
  Likes Received: 9,782
  Trophy Points: 280
  Pole kwake
   
 9. S

  SHEMGUNGA JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 636
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  vp kuhusu mgomo wao! kama angerud makwao yangemkuta ila anakazania kubak mashulen hiza ndiza hasara za kutogoma!
   
Loading...