Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nasema hivi kwa sababu nakumbuka wakati misuguano ya kugombea cheo cha mwenyekiti wa UVCCM katika kipindi cha nyuma mwenyekiti wa chama (Rais Kikwete) aliamua kumpitisha Masauni ambaye ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kufuatana na kuidhalilisha serikali nzima ya CCM kuhusu tamko lake kwa umma kuhusu 'kutubu' kwa yule Mkenya kuna uwezekano mkubwa Kova akaondolewa katika wadhifa alionao sasa hivi. Tetesi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hali ya nchi ni mbaya hebu chek hapa chini; AFYA= MAdaktari wanagoma, kule BUGANDO hakuna huduma ya xray tangu mwezi wa sita eti iliharibika wagonjwa wanafuata huduma hiyo pale Sekeoture! Huku...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Written by Said-Said // 14/07/2012 // Habari // 5 Comments (Amri zikitoka Zanzibar kwenda Oman, Tanganyika na maeneo mengine ya afrika) Nianze makala yangu kusimulia kwamba wengi hawajui...
4 Reactions
39 Replies
5K Views
Nandika hapa nitaandika na pengine kwa kirefu kwenye gazeti la The East African. Serikali ilipoamua kuwa wezi wa fedha za EPA 'Wazirudishe yaishe' niliifananisha na kibongoyo au Simba wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu kama mnavyojua hatuwezi kusonga mbele bila kuangalia historia,kufanya tafiti nk.Tafiti ktk jimbo la moshi vijijini umeonesha kwamba kulikuwa na kila sababu ya kunyakua na kukomboa jimbo hili...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ili kusikiliza na usiadithiwe bonyeza hapa: http://tunein.com/tuner/?StationId=158711& Redio ikifunguka usiache ku LIKE na kutuma maoni yako kwa info@arushamambo.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu kama mnavyojua hatuwezi kusonga mbele bila kuangalia historia,kufanya tafiti nk.Tafiti ktk jimbo la moshi vijijini umeonesha kwamba kulikuwa na kila sababu ya kunyakua na kukomboa jimbo hili...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna maswali mengi yamekua yanasumbua Akili,hasa akili za wenye ufahamu wa juu.. Je!! Kwa Nchi ya Tanzania inaweza kuendesha shughuli zake bila kutegemea misaada na mikopo toka Nchi za nje? Na...
0 Reactions
138 Replies
10K Views
SERIKALI ya Kenya imesema inazifanyia kazi taarifa za raia wake kukamatwa na kufikishwa kortini nchini kwa tuhuma za kumteka na kufanya jaribio la kumuua Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na shutuma nyingi zinazoelekezwa kwa jeshi la polisi ambazo nyingine zimekuwa zinalitia matope sana jeshi la polisi lenyewe hasa kwenye ile context ya kulinda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Binafsi nashukuru Sana utawala wa JK unavyoendelea. Haya yanayotokea ni Changamoto ya Tawala zote Duniani.Huwezi kuishi ukapitwa na Changamoto za maisha. i)Kenya- Mauji ya wenyewe kwa wenyewe...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mkuu wa kitengo cha polis mkoani singida. Ameruhusu mikutano ya chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) baada ya kutokea vurugu katika mkutano wa hadhara uliofanyika tarehe 14 july.vurugu hizo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kumbe bado WaTanzania walio wengi wanaipenda CUF , wananchi wanaimani ya kweli na CUF na wanaelewa majungu na njama za kukidhoofisha chama chao ambazo zimefanywa kwa awamu mbalimbali na wapinzani...
2 Reactions
56 Replies
4K Views
Tunapenda kuwataarifu wanachama wote wa Chadema kuwa Mkutano wa Uchaguzi wa Viongozi wa Chadema Washington DC Utafanyika Siku ya Jumapili ya tarehe 15 July 2012 kama ilivyoelezwa awali. Mahali...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Tanzania Tourist Board is a government organization which was legally established by Tanzania Tourist Board act, CAP 364 of 1962 and amended by act by Act No. 18 of 1992 Board of...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Ktk taarifa ya habari ya chanel teni nimemuona katibu mkuu wa uvccm Martin shigella akitangaza kwamba vijana wao wa ulinzi kuwa tayari na mapambano dhidi ya chadema. Kauli hiyo ameitoa kutokana na...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
This is a message to Mhando wa Tanesco. Naona haya mambo ya chemba naona hayafanyi kazi kwako sasa naona bora niende public na wa Tanzania na dunia ijue. Kama hujaingia JF basi nina hakika Badra...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
"Ifikie sehemu watawala waanze kuona kuwa hii siyo nchi ya wajinga waliyoitwaa kwa Waingereza 1961" Salaam Aleykum, Kwa wale ambao hii nchi hawana uzoefu nayo, na wale ambao siasa za Tanzania...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Huu mchezo wa polisi kuwa wanasiasa utatufikisha pabaya. Tupige kura kuwaonyesha kama kweli sehemu hii muhimu ya watanzania inaiamini taarifa ya kova au la.
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…