Nahisi ccm watampitisha mzanzibar au mwanamke 2015 kuepuka mpasuko

Satoti

Member
May 22, 2012
44
4
Nasema hivi kwa sababu nakumbuka wakati misuguano ya kugombea cheo cha mwenyekiti wa UVCCM katika kipindi cha nyuma mwenyekiti wa chama (Rais Kikwete) aliamua kumpitisha Masauni ambaye ni mzanzibar ili kuondoa migawanyiko. Vilevile tunakumbuka jinsi mwanamke alivyoumika kumstopisha Mh. Samwel Sitta katika kinyang'anyiro cha uspika.
 
Back
Top Bottom