Anguko la CHADEMA moshi vijijini 2010 na udhaifu wa mgombea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anguko la CHADEMA moshi vijijini 2010 na udhaifu wa mgombea

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Munambefu, Jul 16, 2012.

 1. Munambefu

  Munambefu JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 894
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 60
  Wakuu kama mnavyojua hatuwezi kusonga mbele bila kuangalia historia,kufanya tafiti nk.Tafiti ktk jimbo la moshi vijijini umeonesha kwamba kulikuwa na kila sababu ya kunyakua na kukomboa jimbo hili lkn ilishindikana kwasababu mgombea [mkurugenzi wa fedha CDM]alikuwa dhaifu vya kutosha,hakupiga campaign ktk kata kadhaa mfano kibosho mashariki,hakukuwa na jitihada za awali za uimarishaji chama na bado hazipo[tumetengwa na chama]vyote hivyo vilimpa chami mteremko mzuri.Hivyo nashauri [1]chama kuteua wagombea madhubuti ktk chaguzi na si kujuana.[2]kujenga chama ktk ngazi za msingi nchini kote,hapa nasisitiza moshi vijijini tumetengwa!Naomba kuwasilisha.
   
 2. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  IT,S begn with you. Moshi vijijini si ya chadema wala ccm so suala la uongozi liko mikononi mwa wakaazi wa moshi vijijini.kilichopo ni kuwapa elimu ya uraia ndio watabadilika!
   
 3. K

  KIRUA Senior Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Elimu hiyo ya uraia wanaitambua.udhaifi wa mgombea ,wale wananchi na watu wa moshi vijijini,kirua wanauelewa mkubwa wa siasa za kila chama cha siasa,ishu nikwako mgombea kama huwezi kuwasawisi sikwa maneno yako bali kwa yapi uliyo kwisha fanya wakayaona,hawachagui mtu tu kwa kua ni CCM au CDM au TLP au NCCR hapa wanaangalia uliyo ya fanya sikuza nyuma hata kabla huja tangaza nia...wapiga kura wale wa Moshi hawababaishwi na maneno,wa wana hitaji kuona kazi uliyo kwisha fanya.
   
 4. M

  Malipo kwamungu JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 574
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ngoja AWEDA atakuja akujibu mimi nna haraka naenda ktk mkutano
   
 5. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,188
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Poor mind speaks cheap Things...........
   
 6. by default

  by default JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  poor mind reply cheap thngs
   
 7. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,188
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Sound like a new prov to u huh! Welcome son.
   
Loading...