Anguko la CHADEMA moshi vijijini 2010 na udhaifu wa mgombea wetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anguko la CHADEMA moshi vijijini 2010 na udhaifu wa mgombea wetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Munambefu, Jul 16, 2012.

 1. Munambefu

  Munambefu JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 895
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 60
  Wakuu kama mnavyojua hatuwezi kusonga mbele bila kuangalia historia,kufanya tafiti nk.Tafiti ktk jimbo la moshi vijijini umeonesha kwamba kulikuwa na kila sababu ya kunyakua na kukomboa jimbo hili lkn ilishindikana kwasababu mgombea [mkurugenzi wa fedha CDM]alikuwa dhaifu vya kutosha,hakupiga campaign ktk kata kadhaa mfano kibosho mashariki,hakukuwa na jitihada za awali za uimarishaji chama na bado hazipo[tumetengwa na chama]vyote hivyo vilimpa chami mteremko mzuri.Hivyo nashauri [1]chama kuteua wagombea madhubuti ktk chaguzi na si kujuana.[2]kujenga chama ktk ngazi za msingi nchini kote,hapa nasisitiza moshi vijijini tumetengwa!Naomba kuwasilisha.
   
 2. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Binafsi nimeanza jitihada za kuimarisha Chama Huko na mwezi ujao nitakuwepo huko. Naamini ujenzi wa Chadema ni kwa kila mtu pale alipo bila kujali cheo chake ndani ya chama!

  Ahsante!
   
 3. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu tathimini yako ni ya uchaguzi wa mwaka gani? kama ni mwaka2010, ulikuwa wapi kutoa tathimini yako,
  Anyway hapa ni JF, usitumia maandishi kama FaceBook, karibu jamvin mkuu.
   
Loading...