Tanzania na Misaada: Tujadili hili... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania na Misaada: Tujadili hili...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kula kwa tindo, Jul 12, 2012.

 1. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kuna maswali mengi yamekua yanasumbua Akili,hasa akili za wenye ufahamu wa juu..
  Je!! Kwa Nchi ya Tanzania inaweza kuendesha shughuli zake bila kutegemea misaada na mikopo toka Nchi za nje?

  Na endapo unadhani inawezekana Tanzania ikaendesha bila huo utegemezi, au haiwezi kuachana na utegemezi..
  TOA SABABU ZAKO HAPA!

  Kwanini haiwezi kutegema Mikopo na misaada?

  Kwanini inaweza kuendesha shughuli zake bila misaada na mikopo?
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Tanzania tunaweza kujiendesha iwapo tutaiondoa CCM madarakani.
   
 3. NAFIKA

  NAFIKA Senior Member

  #3
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuweza inaweza ila wanaosimamia rasilimali hawapo siriazi na fiucha ya nchi hii!! Mfano mdogo tu, tuna rasilimali ngapi ukilinganisha na Botswana? Wanajitegemea kwa kila kitu, afya bora kwa raia wake, na mengine muhimu!!

  Viongozi wa TZ wanafikiria jinsi ya kutunza vyeo vyao na kutunza vitambi vyao, Jiulize ni kweli tunastahili kufukuza Madaktari ukilinganisha na uhalisia wa huduma katika hospitali za nchi hii!!

  TUNAHITAJI MAPINDUZI YA KIFIKRA NA KIUTENDAJI ILI KUWEZA KUJITEGEMEA.
   
 4. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  KIla nchi duniani ina mikopo. Kwa kifupi hatuwezi kujiendesha bila mikopo kwakuwa hata Marekani na China wana mikopo.
   
 5. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,188
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Angalia RECORD ya sector moja tu, actually we lead in AFRICA yet 3% return with 100% capital allowance and 5yrs grace period on TAX

  Tanzania Gold Shipments Increase to Record, Diamonds Decline


  Tanzania, which vies with Mali to be Africa's third-biggest gold producer, increased shipments of the metal to a record last year as prices climbed.

  Exports grew to $1.9 billion from $1.4 billion a year earlier, according to provisional Mines Ministry data provided by acting Commissioner Ally Samaje. The central bank will release final data later this year. The value of gold shipments rose even as output dropped to 37,000 kilograms (81,571 pounds) from about 40,000 kilograms a year earlier, he said.

  "The increase in exports is attributed to higher prices of gold on the international market," Samaje said in an interview in Arusha, 330 kilometers (205 miles) north of the capital, Dodoma. Apr. 27. Bullion for immediate delivery rose 13 percent to $1,563.70 in London last year.

  Tanzania earned 876.3 billion shillings from its gold, silver and copper resources since 1998, when gold mining began in the East African nation. African Barrick Gold Plc (ABG) and Resolute Mining Ltd. own mines in the country. Total receipts from minerals increased to $2 billion last year from $1.5 billion in 2010, generating 2.6 percent of gross domestic product in the region's second-biggest economy.

  Gold production may drop further next year when African Barrick's Tulawaka mine and Resolute's Golden Pride operations are scheduled to be closed, according to Samaje.

  "In Tulawaka, Barrick will conclude surface mining next year," Samaje said. "They have an option to go for underground production, or close. We have already given them permit for underground production at Tulawaka."
  Deo Mwanyika, vice president in charge of corporate affairs at African Barrick, didn't answer his mobile phone when Bloomberg called three times today seeking comment.

  Feasibility Study

  African Barrick's Nyanzaga project in Sengerema district has yet to produce a feasibility study and the process may take as long as four years before production starts, Samaje said.

  "The upcoming projects will still take time, which means our ambition of reaching annual production of 50,000 kilograms may not be achieved soon," he said.

  Gold output in Tanzania peaked at 48,000 kilograms in 2004, from which the country earned $596 million in shipments, according to the ministry's data. The other company operating in Tanzania is AngloGold Ashanti Ltd. (ANG), which owns the Geita Gold Mine, the biggest by output.

  Shipments of diamonds dropped to $7.5 million last year, the lowest in 11 years, from $16.3 million in 2010, as output dropped to 28,377 carats from 80,498 carats, the data showed.

  "This is because production was stopped at Mwandui to rehabilitate the old processing plant," Samaje said.
  Shipments of tanzanite dropped to an estimated $22.8 million last year from $25.4 million in 2010, even as production increased 17 percent to 15,000 kilograms (33,000 pounds) in the same period, according to the data.

  Silver exports jumped to $11.6 million from $7.7 million, as output fell to 12,000 kilograms from 10,400 kilograms, while copper shipments fell to $30.2 million from $37 million, according to the ministry.
   
 6. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Kunywa pombe wakati huna kazi ya kufanya ni jambo baya sana.
   
 7. Dijovisonjn

  Dijovisonjn JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 450
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ki ukweli, Tanzania tunahitaji miaka 50 ili kujiendesha wenyewe bila misaada!
  Kuhusu mikopo, hata USA wanakopa, hivyo Tanzania sidhani kama tunaweza kukwepa kukopa!

  Nikirudi kwenye misaada, kutokana na mfumo tulioachiwa na wakoloni (ukoloni mambo leo) ni vigumu sisi kusimama peke yetu kwa kipindi hiki, wengine watadai kuwa tuna resources nyingi ambazo zikitumika vizuri tunaweza kujiendesha bila kutegemea misaada, lakini swali la kujiuliza ni je, vifaa, teknolojia na ujuzi wa kuvuna na kutumia hizo resources tunao?

  Jibu ni HAPANA, na ili tuwe na huo uwezo naamini tutahitaji miaka 50! Hii haijalishi ni chama gani kipo madarakani, iwe CCM, CHADEMA, CUF, NCCR MAGEUZI, au hata tukikodisha chama cha siasa kutoka nje. etc.

  Kitu cha ajabu ni kuwa hata South Africa naye anategemea msaada japo ni kwa asilimia kidogo ukilinganisha na Tanzania!
   
 8. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Unadhani ndilo suluhu ?
  Au kubadili mfumo wa uongozi ndani ya CCM?
   
 9. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  mikopo ni kawaida misaada je
   
 10. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mkuu Rwanda wameonyesha mabadiliko kwa miaka michache mnoo,
  huoni miaka 50 ni mingi sana kwa Taifa lisilo na Majanga na lililo sheheni UTAJIRI WA ASILI?
   
 11. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Na tujiulize, Iweje tukopeshwe zaidi ikiwa Madeni ya mwanzo hatujamaliza kulipa?
  KUNA NINI KIMEJIFICHA HAPO?
   
 12. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #12
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  naogopa kweli kuchanga hapa manake nitakuwa imprisoned soon. acha niende chit chat na mmu
   
 13. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ndio maana nilicctiza.. ACHANGIE MWENYE AKILI TIMAMU TU.....!!!!
   
 14. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ki vipi Mkuu? Mchango wako muhimu ....
   
 15. genius

  genius JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Sababu zinazoweza kutufanya tujitegemee.
  1. Tumepakana almost na nchi zote za east africa hivyo tunaweza kutumia mipaka yetu kukuza uchumi wetu.
  2. Tuna mali asili nyingi kuliko nchi nyingi za africa mfano; bahari ya hindi, ziwa victoria, nyasa, lukwa etc
  tuna mbuga za wanyama nzuri na zinazo tambulika duniani
  tuna mlima mkubwa kuliko yote afrika

  tuna gesi asilia na makaa ya mawe na bila kusahau maporomoko mengi ya maji
  tuna ardhi nzuri na yenye rutuba kwa uzalishaji wa mazao

  tuna ardhi ya kutosha kabisa, maana nchi yetu ni moja kati ya nchi kubwa africa
  yapo mambo mengi ya kuzungumzia kuhusiana na utajiri wetu ila nimetaja hayo machache.
  Lakini kuna jambo moja ambalo hatuna na jambo hili litatufanya tegemezi siku zote. Jambo hili ni UZALENDO. Uzalendo ule tulio kuwa nao miaka ya 1961 haupo tena.

  Jambo hili la uzalendo huanza na viongozi wa nchi yetu na siasa zetu. Kama viongozi wetu na siasa zetu zimepoteza mwelekeo inakuwa ni vigumu kwa nchi kuwa na muelekeo.

  Hivyo basi tunahitaji uongozi na siasa zenye uzalendo wa dhati, na suala hili inabidi kusimamiwa na wananchi wote ili anapojitokeza kiongozi asiye na uzalendo wa dhati basi wananchi tuwe na nguvu na ujasili wa kumkataa na kumuondoa madarakani.
  Je? Tunaanzaje kuleta mabadiliko?

  Hapa inatubidi kung'oa mizizi yote ya uongozi mbovu na kusimika mizizi mipya yenye nia ya dhati ya kuleta mabadiliko.
  Kuwa na elimu ni sawa na kuwa na macho ya kuona, ni wazi kuwa watanzania wengi hivi sasa tuna macho ya kuona uozo, ujinga na udhaifu wa viongozi wetu na wanasiasa wetu.

  Kumbe basi tumebakiwa na wajibu wa kuchaguo viongozi wenye nia ya dhati ktk kuipeleka nchi yetu mahali panapo stahili kiuchumi, kiutamaduni, kiafya na kijamii.
   
 16. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #16
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Great Thinker wa ukweli ni kama wewe Mkuu.. Nimeipenda hii....
  God bless u...
   
 17. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #17
  Jul 12, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mtoa mada amezingatia 'Utegemezi'...mfano bajeti yetu more or less 40% inatoka kwa wahisani. Hao wamerekani na nchi nyingine zilizoendelea wanajitosheleza na bajeti zao.
   
 18. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #18
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sasa nakubali HUMU NDANI TUNA VICHWA... Nimependa mchango wako..
  lakini Je..! Unadhani raslimali za Nchi hii ni ZETU AU NI ZA KWAO WAZUNGU?
   
 19. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #19
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  wenye akili timamu peke yake ndiyo watakaoelewa kinachojadiliwa hapa
   
 20. Blood Hurricane

  Blood Hurricane JF-Expert Member

  #20
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 1,151
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Yote yanawezzekana bila ya kuwa na CCM Madarakani...............Kama CCM itaendelea kuwa madarakani hali itazidi kuwa mbaya na mwishowe tutakuja kula mizizi nchi hii.
   
Loading...