MR.JK butua uwaokoe wenzio. . . ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MR.JK butua uwaokoe wenzio. . . !

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GreenCity, Jul 16, 2012.

 1. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,651
  Likes Received: 2,096
  Trophy Points: 280
  Hali ya nchi ni mbaya hebu chek hapa chini;
  AFYA= MAdaktari wanagoma, kule BUGANDO hakuna huduma ya xray tangu mwezi wa sita eti iliharibika wagonjwa wanafuata huduma hiyo pale Sekeoture! Huku Tanga hosptal ya rufaa BOMBO Haina Xray tangu APRIL, KTK mikoa 3 ya DSM, PWANI NA MORO kuna machine 13 tu za CT SKAN na kati ya hizo ni 3 zinazofanya kazi.
  Source: SIKIKA (NGO)

  USALAMA, POLICE;
  DR. Ulimboka ametekwa ktk utata hapa kova anadai wamelitia mbaroni lihusika, kule mch. GWAJIMA anasema NO, C lenyewe! Anasema kamanda MSANGI atakuwa na pointi za kujibu hilo! Kule NDAGO Watu manarushiana mawe Police wanapiga picha tu!

  SIASA:
  MR. JK , hali mbaya hasa upande wako, chama kikongwe ni wazi kabisa LIFE EXPECTANCY imewasha redlight.
  Manake mlianza kuua wapinzani pale Z'bar, badae pale Arusha, mkaja hapa Mbeya, mkasogea Igunga na mkamalizia damu nyingine pale Arumeru!
  Baada ya hiyo kufeli, mmekuja na hii ya kuuwana wenyewe manake mlimkosakosa dr. Mwakyembe, Filikunjombe nae akalalamika kuwindwa!

  Sasa a friendly word of advice kwako Mr. JK ni bora ubutue kuwakomboa wenzio (ujiuzuru) lakin kabla hujafanya ivyo toa red kadi kwa IGP, KOVA, PINDA, NCHIMBI, NCHEMBA halafu sepa zako uarabuni!
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  ushauri unasomeka,
   
 3. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Vumilia CCM imevuka bahari nyingi sana na hayo malalamiko yako watayavuka ,ukisafiri baharini kuna mawimbi na upepo mkali na kimbunga ,hivyo hali hizi ni uhalisia wa maisha kupita katika dhoruba mbalimbali,yana mwisho !
   
 4. Asa'rile

  Asa'rile JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 426
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hawezi kutoa Red card kwa washikaji Wana-syetem, Ila ni muhimu Mr. Presidaa aka-step down ...
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  mkuu siku hizi kuna bahari za nchi kavu, hamtoki.

  enzi za kufikiri kijima si za leo. jipange.
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,457
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Kumbuka pia kuwa bahari zote si sawa
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sikio la kufa halisikii dawa!!!!!!
   
 8. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,651
  Likes Received: 2,096
  Trophy Points: 280
  kumbuka vibunga vingine vinaondoka na wengi! Au umesahau kile cha Tsunami, katrina N.K
   
Loading...