1.Katibu wake mkuu anakabiliwa na kesi aliyofunguliwa na Rose Kamili.
Kwamba anamuwekea pingamizi la ndoa iliyokuwa imetajwa kufanyika july 21 mwaka huu.Pamoja na mambo mengine Kamili anadai...
Bado Watanzania tuna kumbukumbu za MV Bukoba ambapo mamia ya Watanzania walifariki kwa mpigo.
Ikiwa hiyo ni ya mbali, mwaka jana Septemba 10 Watanzania zaidi ya 200 walikufa wakijiona.
Tarehe 13...
Nugu wanajamii nimekuwa nikifatilia sana usikivu wa serikali kwa mambo mengi yanayojitokeza bila kuaona nia ya dhati ya kuyatatua.
(1)Ajali za meli zimetokea nyingi lakini hawajali,na hawajaandaa...
Wanajamii.
Kama waTanzania hususan wale waliotoka Bara (Tanganyika) msingekuwa watu wa kulalamika na kulaumu kwa kila jambo na kusahau kabisa kuwa wazalendo na kushukuru kwa kile kidogo...
Madam Spika "TUNAONA"
Am troubled kila Mara ninapomsikia mama wa mjengoni akisimama kwa kuwasema Wabunge, mara kwa mara kwamba Wananchi wanawaona, na wanaona kila kinachoendelea hapa, am not sure...
Awali tuwaombee faraja kwa wahangwa wote wa ajali ya meli, Mwenyezi Mungu awape nguvu kwa kipindi hichi kigumu ndugu na jamaa wote waliofiwa na tunawaombea majeruhi wote wapone mapema.
Kwa sie...
Ni wazi sasa watu wengi hawana tena imani na kiongozi huyu wa bunge na kwa maoni yangu ni bora akajiuzulu tu.Kwa hatua aliyofikia atakuwa na wakati mgumu kufanya maamuzi sahihi siku zijazo kuhusu...
Hayo yalisemwa Jana na mama Hellen raisi aw Liberia
JK alilijua ilo na amekaidi kwa kuinyima wizara ya Afya fungu stahiki
Sijui alijisikiaje Maana mama aw watu alitaja nchi ambao zimeweza ilo...
Miaka 16 iliyopita Mv. Bukoba ilizika zaidi ya watu 1,000 wakatwambia haitajirudia tena.
Na miezi kadhaa imepita Mv. Isle lender Ikazika zaidi ya watu 400 wakatwambia haitajirudia tena
Jana...
Ni baada ya rufaa yake kutupiliwa mbali na mahakama kuu Iringa leo hii. kwenye rufaa hiyo namba 13/2010 wakili wa Makalebela alikuwa akidai kuwa hati ya mashtaka haitengenezi kosa la jinai. hii ni...
Wakuu salaam.
Naomba tujadili kama GT. Tuweke tofauti zetu za kiitikadi pamoja na vyama pembeni.
Vyombo vya dola hasa mahakama na polisi, wapo kwa ajili au faida ya nani?? Je, ni sisi...
Nape amekamilisha operesheni lipa deni na kueleza kuwa haikukigawa chama kama baadhi ya watu wanavyodai. My concern: Hivi operesheni hii itakamilikaje wakati bado tunawadai?
Udugu gani huu tulionao. Mwaka jana walipokufa watu 2000, burudani upande wapili wa Muungano ziliendelea kama kawaida. Leo hii inapotokea ajali nyengine Spika wa Bunge anaona bora Bunge liendelee...
Ndugu zangu wana Jf; kwa sasa kuna malalamiko mengi juu ya utendaji wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa madai kuwa vina tetea chama tawala na kufanya kazi against wapinzani especialy CDM....Kama...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(wa pili kulia) akiwa na Viongozi Wakuu wa Serikali alipofika
katika Ofisi za Shirika la Bandari, Malindi Unguja kupata...
Mhe. President wa Tanzania; leo nimekusikia kupitia ITV, naomba ninukuu......"kwakuwa tumeimaliza malaria huko Zanzibar, ni bora tukaimaliza na huku bara maana mtu anaweza kwenda Zanzibar kutoka...
Wana jamvi katiba mpya ielekeze huu ukomo ili viongozi wasilewe madaraka.
Viongozi wengi wanajiona wao ndio Serikali wao ndio kila kitu. Baada ya hiyo hatutakuwa na watu kibao mule ndani, toka...
Je,ajali ya vyombo vya majini zimeshindwa kudhibitiwa na viongozi wa kiserikali? Viongozi mko wapi wakati huu boti mbili;moja ya maiti na nyingine ya wahanga zikielekea bandari ya Zanzibar? Maiti...