Ni mv skagit na sio sea gull imepinduka na haijazama bado iko inaelea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni mv skagit na sio sea gull imepinduka na haijazama bado iko inaelea

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Profesa, Jul 18, 2012.

 1. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Boat hii iliuzwa kwa Tanzania mwaka 2011 na kwa taarifa zaidi fuatilieni thread hii iliyorushwa humuhumu Jamvini: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/111661-washington-state-sells-2-passenger-ferries-to-tanzania.html

  State passenger ferries sold and leaving for Tanzania | KPLU News for Seattle and the Northwest

  Kwa mujibu wa Munir Zacharia wa Chanel 10 Bado Haijazama inaelea na vikosi vya uokoaji wanajitahidi kufanya uokoaji. Inasemekana kutakuwa na vifo kadhaa tayari BBC wamecover habari hii BBC News - Tanzania rescue bid as ferry sinks off Zanzibar


  Pia ni vema kufahamu kuwa Boat hii iliwahi kusimamishwa shughuli zake kutokana na hofu ya usalama wake hivi karibuni mnamo mwezi wa February angalia hapa: Zanzibar news update – MV Skagit stopped from sailing to Pemba by ZAM over safety concerns « Wolfganghthome's Blog
   
 2. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Mkuu mpaka sasa ninaweza kuthibitisha kwamba maiti zaidi ya kumi wametolewa baharini na wamefikishwa hospotali,sijui kuelea kwa meli kunaweza kukasababisha vifo vya watu wengi namna hii kwa namna gani?
   
 3. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Lakini mbona hizi taarifa zilaanza toka tangu saaa 7 mchana watu waanza puuzia
   
 4. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Mkuu sangara, boti hii tuliuziwa na serkali ya Marekani hivi majuzi tu!!! Yawezekana wamekunywa maji. Natumai somo la kujiokoa namaafa liopngezwe kwenye mtaala.
   
 5. M

  MWINUKA E Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanks for this good work! Big up.
   
 6. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  396857_264420340325785_1630874751_n.jpg

  Ni huzuni kwa kweli, sipati picha hao waliopo humo............
   
 7. y

  yaya JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu, kwani mkiuziwa na Amerika hivi majuzi boti haiwezi kuwa mbovu. Labda jiulize kwa nini waliiuza?
   
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Inna lilahi wainna ilai.......
   
 9. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,166
  Likes Received: 1,101
  Trophy Points: 280
  Mpaka sasa maiti 60 zimepatikana na meli zimeshindwa kufanya uokozi kutokana na upepo mkali,
   
 10. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Dah natumai wakulu walioko Bungeni wataweka hoja ijadiliwe hii ni swali zuri sana
   
 11. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Mbona mnatuchanganya jamani coz taarifa ya habari ya saa kumi Tbc wamesema ni seagul na meli imezama au na wao wanabahatisha tu??
   
 12. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Prof,
  Ndio mliuziwa juzi lakini haimaanishi kuwa chombo kilikuwa kipya, wale Yankees tayari walishatumia hicho chombo kwa miongo kadhaa...:hat:
   
 13. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #13
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Da! Tz kuna mambo...
   
 14. salito

  salito JF-Expert Member

  #14
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  duhh mbaya sana kwakweli..poleni sana.
   
 15. M

  Mujanjabi Member

  #15
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Eti mtu anashindwa kuirisha bunge,kweli hakuna spika wa bunge.spika wa tanzania ni kiazi.
   
 16. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Profesa, wake up comrade. Hata mitambo ya Richmond ilitoka huko huko Marekani, do not take this matter for granted.
   
 17. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  ile helkopta ya polisi iko wapi? Waache utani hawa watu na maisha ya watu
   
 18. y

  yaya JF-Expert Member

  #18
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu, kwa ulimwengu wa TZ wa sasa uliosheheni siasa za kishabiki kila upande unaweza kweli kupata habari za uhakika kupitia TBC!!??
  Nina imani usiku TBC watamsifia Mhe. Spika Makinda kwa moyo wa huruma wa kuamu kuahirisha bunge ili wabunge wapate wasaa kushughulika na dhahma hii ya meli kuzama, japo bila aibu aliikataa hoja ya bunge kuahirisha kikao akidai eti ajali haikutokea Chamwino!!
   
 19. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Usisahau TISS wana haha sasa maana wasingependa habari hii iibuke tena itaiweka seriakli pabaya, ila ni panick ya kijinga maana mwinsho wa siku iko wazi vyombo vya kimataifa vimetangaza mapema kabla yetu with acurace
   
 20. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #20
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  huyu mwenye meli akamatwe anyongwe katika public
   
Loading...