Usikivu wa serikari upo wapi?

KOBELAMCHANA

New Member
Jul 18, 2012
2
0
Nugu wanajamii nimekuwa nikifatilia sana usikivu wa serikali kwa mambo mengi yanayojitokeza bila kuaona nia ya dhati ya kuyatatua.

(1)Ajali za meli zimetokea nyingi lakini hawajali,na hawajaandaa vifaa kamirifu vya maokozi mpaka leo,na ajali zinaendelea kuuwa Watanzania.

(2)Wanashindwa kiboresha mapato ya watumishi.

(3) Imegundulika kuna watumishi wengi wameghushi vyeti vya elimu,Serikali imeziba masikio,pengine wanaofanya uzembe na watanzania tunaendelea kufa ni hao walioghushi vyeti.
 
Back
Top Bottom