Nape na operesheni lipa deni

SWEEPER

JF-Expert Member
Jul 16, 2012
269
87
Nape amekamilisha operesheni lipa deni na kueleza kuwa haikukigawa chama kama baadhi ya watu wanavyodai. My concern: Hivi operesheni hii itakamilikaje wakati bado tunawadai?
 
WEWE KWANI KUNA OPERATION LIPA DENI YA CCM?? ILIFANYIKA LINI NA PIA WAPI?? AU NAPE ANAISHINIKIZA SERIKALI YA CCM ILIPE DENI LA NJE??
UYU DOGO MTATANISHI SANA, LEO KAJIINGIZA KATIKA AYO MASUALA INAKUWAJE AU NDO WAZIRI KIVULI WA FEDHA KWA UPANDE WA CCM?? AAH NIMECHEKA SANA, EBU MKUU DADAVUA ZAIDi
 
Operation lipa deni!!!!!!! Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Teh teh Ngoja waje Huku kigoma watueleze ile ahadi ya kuibadilisha iwe Kama Dubai imefikia wapi
 
Back
Top Bottom