Point of correction mr. President

Mlingwa

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
381
58
Mhe. President wa Tanzania; leo nimekusikia kupitia ITV, naomba ninukuu......"kwakuwa tumeimaliza malaria huko Zanzibar, ni bora tukaimaliza na huku bara maana mtu anaweza kwenda Zanzibar kutoka bara akiwa na Malaria na hivyo kuipeleka Zanzibar..." Sipendi kuendelea kunukuu.

Point of Correction:
1. Malaria haisambazwi na binadamu ila aina furani ya mbu, natumai wadau mnaelewa, hivyo kama hakuna mbu hao hata kama ukilala bila chandarau hakuna atakayepata malaria.
2. Walichoweza ama kufanikiwa Zanzibar ni kupunguza kwa kiasi kikubwa idadi pamoja na mazalio ya Mbu hawa hivyo kupunguza kwa kiasi kikubwa kiwango cha Maambukizi ya Malaria, japo tafiti zinazoendela zinaonyesha kuanza kuzaliana tena kwa mbu hasa maeneo ya pemba na baadhi ya maeneo ya Unguja.

Nawasilisha.
 
Kwa hali aliyonayo sasa hivi JK, ni dhahili ubongo/akili havina ushirikiano na mdomo... Yani anachoongea wala hakitambui, yupo yupo tu...
 
Mhe. President wa Tanzania; leo nimekusikia kupitia ITV, naomba ninukuu......"kwakuwa tumeimaliza malaria huko Zanzibar, ni bora tukaimaliza na huku bara maana mtu anaweza kwenda Zanzibar kutoka bara akiwa na Malaria na hivyo kuipeleka Zanzibar..." Sipendi kuendelea kunukuu.

Point of Correction:
1. Malaria haisambazwi na binadamu ila aina furani ya mbu, natumai wadau mnaelewa, hivyo kama hakuna mbu hao hata kama ukilala bila chandarau hakuna atakayepata malaria.
2. Walichoweza ama kufanikiwa Zanzibar ni kupunguza kwa kiasi kikubwa idadi pamoja na mazalio ya Mbu hawa hivyo kupunguza kwa kiasi kikubwa kiwango cha Maambukizi ya Malaria, japo tafiti zinazoendela zinaonyesha kuanza kuzaliana tena kwa mbu hasa maeneo ya pemba na baadhi ya maeneo ya Unguja.

Nawasilisha.

Hata wasaidizi wake hawapo kumwambia kuwa malaria inaenezwa kwa mbu..lol
 
Back
Top Bottom