Habari kuu ya zanzibar ni vitendo vya uamsho tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari kuu ya zanzibar ni vitendo vya uamsho tu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngekewa, Jul 18, 2012.

 1. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Udugu gani huu tulionao. Mwaka jana walipokufa watu 2000, burudani upande wapili wa Muungano ziliendelea kama kawaida. Leo hii inapotokea ajali nyengine Spika wa Bunge anaona bora Bunge liendelee. Hilo ni la Bunge la ITV jee? Habari ya msiba kama huu imewekwa ya mwisho kabisa na kufuatiwa na kipima joto. Ama kweli haya yangetokea Mkoa mmoja wa Tanganyika hali ingekuwa hivi?
  Tulikuwa hatuna habari wakati wa uamsho bali habari kubwa haasa huko ITV.
  Ama kweli huu udugu wetu ni mfano!!!!!!!!
   
 2. R

  Ray2012 JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mfano wa kuigwa?
   
 3. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  No one can make you feel inferior without your consent.
   
 4. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  tumeamua kuwatenga kwasababu ya kiburi na jeuri yenu...kumbe bado mnatuhitaji, sasa uamusho wa nini?....mnalialia nini sasa wakati mnasema hamtutaki?...unautaja udugu leo?....wakati umekamatwa na tatizo?..hahaha, poleni wafiwa lakini to hell let go of zenji!
   
 5. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Big NO! Hii ni kuzidi kuonyesha muko vipi. Hatuhitaji lakini nyinyi ndio mnaotuhitaji iwapo mnazidi kungangania.
   
 6. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii ni habari ya kimataifa, sasa walitaka iwe ya kitaifa? Mbona hawasemi asad anavyochinja raia iwe habari ya headline?
  Wasituzingue hawa. Hawana raha usiku wala mchana, wao ni kulalama tuu ndo wanachojua.
   
 7. jamesbond007

  jamesbond007 Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona kawaida tu! sisi tunajuwa hawa watanganyika udugu wao kwetu ni kwenye siasa tu za kuikandamisha Zanzibar!. Uamsho walipofanya matembezi walituma helicopters mbiombio na vikosi kibao ila hili wapi, na huyo spika sio kosa lake binsfi hiyo ndio tabia ya watanganyika wenye mitazamo ya kicccm tu sio wote!
   
 8. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Bora wewe walau umejua kwamba ni wale wa mtazamo wa kiccm!Kuungana au kutoungana hakuzuii mauti na kufurahia au kuchukia mauti ya mwenzio hakuna uhusiano na muunga japo napenda sana kama zanzibar wkijitenga maana skuwahi kuhisi kwamba mm na mzanzibar ni watu wa taifa moja and then siwapendi kabisa wazenji na waislamu kwa ujumla
   
 9. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  mmm wewe una unasaba na shetani nini??
   
 10. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  na mimi ninawapenda sana wazanzibar, hamjaliona ilo ndo kila uchaguzi lazima muipe ccm ushindi wether kibabe au kwa hiari, endeleeni kuwapa uongozi ccm japo wenzenu ccm wana permanent interest toka kwenu lakini urafiki wa kweli sahauni.
  Mjitambue pia mbadilike nyie wazanzibar muache unafiki na kujipendekeza kwa serikali ya ccm ya magamba,
  aksante ccm lazima hawa wazanzibar wawatambue kwa rangi yenu ya ukweli
   
 11. m

  mkataba Senior Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo haijalishi hata mkagonga mziki bado hicho kiburi na jeuri iko palepale, maana hata wamasai wameuwawa kwa hiyo mara hii 50 50 na sisi tunajua," innalillahi wainna ilayhi rajighuuun"
   
 12. m

  mkataba Senior Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Makafiri cku zote hawana kheri zaidi ya laana, sasa unadhani Anna Makinda, ITV watafaya nini zaidi ya ukafiri wao, wee waache tuu mpaka kieleweke!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  Zenji kwanza, wacha tuwaokolee wamasai wao.
   
 13. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ndoa inavunjika mpende msipende
   
 14. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Umefunguka vizuri sana, tungekuwa sehemu pamoja ningekupa tano zangu!!
   
Loading...