Matumizi ya Kiti (Mjengoni)

Vinnyboy

New Member
Jul 18, 2012
1
1
Madam Spika "TUNAONA"

Am troubled kila Mara ninapomsikia mama wa mjengoni akisimama kwa kuwasema Wabunge, mara kwa mara kwamba Wananchi wanawaona, na wanaona kila kinachoendelea hapa, am not sure kama anajua kuwa Wananchi hao hao wanaona baadhi ya maamuzi ya kibabe yanayotoka katika kiti chake, ombi langu kwake, huu ni wakati wake, atumie kiti kadri anavyoona, atuachie Wana/Wenye nchi tu judge, asitusemee, achape kazi, na Wenye nchi tutahukumu wenyewe...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom