Bajeti ya wizara ya Afya inabidi iwe 15% ya Bajeti ya nchi

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Hayo yalisemwa Jana na mama Hellen raisi aw Liberia
JK alilijua ilo na amekaidi kwa kuinyima wizara ya Afya fungu stahiki
Sijui alijisikiaje Maana mama aw watu alitaja nchi ambao zimeweza ilo Mfano Zambia but Tz Kama kawa hatumo
 
Back
Top Bottom