Tunaweza kubadili muundo serikali kupitia katiba mpya na hivyo kuondoa upendeleo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunaweza kubadili muundo serikali kupitia katiba mpya na hivyo kuondoa upendeleo.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mbukoi, Jul 18, 2012.

 1. m

  mbukoi JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 253
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ndugu zangu wana Jf; kwa sasa kuna malalamiko mengi juu ya utendaji wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa madai kuwa vina tetea chama tawala na kufanya kazi against wapinzani especialy CDM....Kama tusipokuwa makini malalamiko haya yateweza kuendelea hata pale tutakapoitoa CCM madarakani kupitia sanduku la kura,wapizani wa kipindi hicho nao watasema vyombo vya dola vinailinda CDM....My take tutumia fursa ya katiba mpya kutengeneza muundo wa serikali ambayo itakuwa stable kwa maslahi ya wananchi wote bila kuzingatia itikadi.kila mtu awe na uhuru wa kuunga mkono au kupinga sera za serikali kwa hoja dhabiti kama wanavyofanya wenzetu USA na Uingereza,tukiliweza hili tutakuwa na uhakika wa Tanzania imara kwa miaka mingi ijayo. Tukumbuke kwamba hisia za upendeleo ziwe za kweli au za uongo ndizo zimekuwa sababu ya machafuko kwenye mataifa mengi haswa pale wanaohisi kukandamizwa wanapojichukulia hatua ya kutafuta haki kwa mabavu( liwalo na liwe stage)...TUNA FURSA YA PEKEE YA KUUNDA UPYA MFUMO WA UONGOZI WA NCHI YETU KUPITIA KATIBA MPYA. KAMA MZALENDO HAKIKISHA UNAPELEKA MAONI YAKO BILA KUINGIZA USHABIKI WA CHAMA CHOCHOTE NA KUZINGATIA MASLAHI YA TAIFA ZIMA.
   
Loading...