Hardtime for chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hardtime for chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wamtaa huu, Jul 16, 2012.

 1. W

  Wamtaa huu Senior Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  1.Katibu wake mkuu anakabiliwa na kesi aliyofunguliwa na Rose Kamili.
  Kwamba anamuwekea pingamizi la ndoa iliyokuwa imetajwa kufanyika july 21 mwaka huu.Pamoja na mambo mengine Kamili anadai alipwe fedha za matunzo ya watoto.
  Hali hii kwa katibu mkuu wa chama inamfanya kupoteza muda mwingi kudeal na kesi hiyo na chama kukabiliwa na wakati mgumu.Pia mahasimu wao wa kisiasa wanatumia mwanya huo kuwaharibia kuwa kuhusu uadilifu na hawafai kuongoza nchi.

  2.Wabunge wa chadema ambao bado hawajatajwa majina wanakabiliwa na kesi ya mauaji ya mfuasi wa CCM yaliyotokea juzi Ndago mkoani Singida.Akiongea kwa kujiamini mbunge Mwigulu Nchemba leo asubuhi bungeni amedai kuwa na ushahidi wa sms za vitisho kutoka kwa wabunge wao ambazo zinawaunganisha moja kwa moja wabunge hao wa chadema.Pia Spika Makinda alidai kufahamishwa jambo hilo na kulaani kitendo hiko na kulitaka jeshi la polisi lichukue hatua stahiki.Hapa chama kimewekwa pabaya kwakuwa makada wake na viongozi waandamizi wanatuhumiwa kuhusika na mauaji.

  3.Kiongozi makini wa chama na katibu mwenezi taifa John Mnyika anakabiliwa na mashtaka ya kuthibitisha maneno aliyoyatoa hivi karibuni dhidi ya Mwigulu Nchemba kuwa anahusika kwenye kashfa ya EPA.Kuna viashirio vingi kuonyesha kuwa ushahidi ama haujawasilishwa au haukidhi kujitoa kwenye sakata hilo.Kama hivyo ndivyo Mnyika atapelekwa kwenye kamati ya haki na madaraka ya bunge na anaweza apewe adhabu kali.
  Hili linakipa chama wakati mgumu.Mnyika anajulikana umuhimu wake kwa chadema ndani na nje ya bunge.Kukosekana kwake bungeni na/au kutumia muda mwingi kupambana na hili suala kunainyima chadema kuufaidi ufanisi wake wa kipekee kwa 100%.

  4.Hivi karibuni ililipotiwa kwenye vyombo vya habari kuwa kuna makada watatu wa chadema wawili kati yao wakiwa ni viongozi na wote wakiwa ni wajumbe wa kamati kuu taifa ya chama kutishiwa maisha yao na kinachoitwa usalama wa taifa.Viongozi hao ni katibu mkuu taifa Wilbroad Slaa,John Mnyika(uenezi taifa) na Godbless Lema.Hili pia ni chungu kwa chama na linalenga kufifisha nguvu ya chadema inayoenea kwa kasi kwani viongozi wake muhimu wanatembea na hofu ya kuhofia maisha yao wakati wowote na hivyo kukipa chama wakati mgumu.
   
 2. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Umeripoti tu matukio ambayo wote tumeyaskia na kuyafahamu vzr. Nothing new here.
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nadhani una maana CCM? Hiyo kweli iko hali mbaya sana!!!
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Raha yako ni kuona thread inapata wachangiaji siyo!
  Haya tumechangia furahi Wamtaa huu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Nikweli kabisa ipo kwenye hard time kuikomboa hii nchi kutoka mikononi mwa ukoloni wa ccm
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mtaa uliopo ni kimagamba gamba maana sijaona lolote la maana.
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,734
  Trophy Points: 280
  Ndio kazi uliozo tumwa ambazo posho zake ni tishert za kijani.

  Wewe ndio una wakati mgumu maana inaoneka wewe ndio umefungua kesi ya kumdai Dr.

  Pia una wakati mgumu maan wewe na chama chako hamna pakushika kila kitu chadema.

  Ndugu yako kova ameona asingizie mahakama baada ya uongo kuisha
   
 8. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  PARTISAN SECURITY PERSONNEL IS A FAMILY NOT GOOD ENOUGH FOR A COUNTRY COMMITTED TO MULTIPARTY POLITICAL DEMOCRACY AND THE TENETS OF GOOD GOVERNANCE

  The reputation of the Tanzania Police Force and the larger security fraternity by extension is AT ITS LOWEST TO-DATE than ever before in history of this country.

  Indeed, to heel fully out of this kind of a self-imposed ethical, justice and fairness doldrum, it may very well require a highly focused sweeping security apparatus reforming in alignment with the present day pluralistic political set up of our society hand of time for them to win back public faith and support in their duties.

  It is such an absurdity that these days no one can ever tell you the difference between what is a National Interest from tht which is purely a partisan CCM interest.

  The security personnel are either willingly in choice to both CCM and all that which are painted, seen and felt CCM or the are in a forced mutiny of NOT serving their true boss who are the tax-payers from across-sectional political and religious camp.

  How I long for those good old days when the common citizens' wishes and interests were put at the top of every other business of the security personnel.

  How hard it has since become of we Tanzanians that we just can't resist a feel of being such an orphaned nation in terms of able, fair and up-right political leadership or may be Mwalimu Nyerere ma have been just going out of his ways to offer us much more than what a leader of his stature is require to do!!!!!!!

  We need change NOW AND HERE for all crucial apparatus of governance, individual mind-sets and heightened NATIONAL (Not CCM) ETHOS and total arrest for corruption and embezzlement of large chunks of funds from public coffers!
   
 9. W

  Wamtaa huu Senior Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Na hili ndilo tatizo la baadhi ya wanachadema humu JF.Ni bora kukisaidia chama kivuke salama kutoka hapa badala ya kujifariji kwa ushabiki wa kipumbavu.Mambo sio mazuri tukisaidie chama chetu kitoke salama.
   
 10. F

  FJM JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kinachoendelea sasa hivi ni fursa kwa viongozi (tena fursa adimu sana) kuamua wanasimama upande upi. Hii misukosuko na hata ukitaka kuiita 'hard time kwa CHADEMA' ni ili fursa hiyo iwe wazi. Nina imani kubwa sana, karibuni milango itagungwa na kila kiongozi atakuwa ama upande A au upande B. Kila mmoja kwa nafsi yake.
   
 11. K

  Kibagata JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 773
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  mtoa mada/thread ni GAMBA. hana hoja ya maana.
   
 12. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Sioni mahusiano zaidi ya hisia kali zinazichochewa na itikadi kiasi cha kufikia mtu Kutumika kisiasa zaidi na hata akiachilia mbali ueledi wake.
   
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Let them say oposition are like Mau mau just because they are fighting for real freedom of people of this country.
  Nyerere fought for the country's freedom, and it is high time chadema to fight for the people's freedom.
  Mandela was sent to prison due to his critical resistance against the appartheid regime, and now it is like the same to CDM.
  CDM go! go! go!
   
 14. W

  Wamtaa huu Senior Member

  #14
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Totally out of topic.Gentleman,Tanzania needs change and our party is moving for that change.But if we fail to play our cards rightly(as it is now) that change we demand will be a dream.We have to avoid CCM into pushing us into such concurrent allegations.Save your party be a change yourself.
   
 15. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ni vigumu sana kuniaminisha upuuzi ili niache chama changu cha chadema. Hata mtumie njia ipi itafeli hakuna mtu mwenye akili timamu anaipenda ccm.
   
 16. ha ha ha

  ha ha ha JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 641
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kumbe udaku unaingia mpaka humu...
   
 17. T

  Topical JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mbona mambo madogo sana hayo,

  Slaa ana kesi ya kijinga tu ya kushindwa ku-manage wanawake..solution yake atangaze kwamba anakuwa muislam anaoa wote wa wawili kwa pamoja

  hizo zingine blablah
   
 18. W

  Wamtaa huu Senior Member

  #18
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Those you mentioned fought hardly and were constrained just as chadema now.But the difference is accuracy my friend.Chadema must be treaky enough to possess such accuracy but unfortunately it seems CCM outperforms it in playing the cards.
   
 19. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,377
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Akili za simbilisi hizi mixer pimbi lazima zije na hoja hizi...
   
 20. m

  maswitule JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,385
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  You are lost my friend, You need to learn the season. No more CCM 2015
   
Loading...