VIONGOZI usingizini, WANANCHI majini...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Je,ajali ya vyombo vya majini zimeshindwa kudhibitiwa na viongozi wa kiserikali? Viongozi mko wapi wakati huu boti mbili;moja ya maiti na nyingine ya wahanga zikielekea bandari ya Zanzibar? Maiti zilizolazwa Viwanja vya Maisara kwa utambuzi ziende na ujumbe gani kwa Mungu?
 
Back
Top Bottom