Hivi ndo akina Mwingulu na wenzake wa CCM walivyo bungeni....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ndo akina Mwingulu na wenzake wa CCM walivyo bungeni.......

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tara, Jul 17, 2012.

 1. t

  tara Senior Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hiki kibonzo kimenifurahisha sana,kinaoyesha jinsi gani wabunge wengi wa chama tawala walivyo wanafiki wachangiapo mijadala ya bajeti bungeni...

  SOURCE:katuni majira.
   

  Attached Files:

 2. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  na hivyondo magamba wote walivyo wengine wanaunga mkono hoja kwa 200% baada ya kukosoa kwa dk 15 aibu
   
 3. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ndo sababu wazungu wanatudharau sana ujue...!
   
 4. a

  annalolo JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi nachoka kabisa wanapokosoa alafu mwisho anaunga hoja. kuna ile wanaosema ndio wangapi na sio basi ndio wameshinda niliiona wakati wa bajeti ya wizara ya maji lol hata mtoto alisikia walosema sio ndo wengi
   
 5. k

  kibugumo JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 1,347
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
   
Loading...