Swali: Tume ya ajira ya utumishi wa umma kwa maslahi ya nani?

Bisek

Member
Apr 2, 2012
77
10
Tume ya ajira ya utumishi is another lost hell,ni chimbo jingine ambapo chama cha magamba walianzisha ili binamu zao,shangazi zao,wifi zao,hawala zao wapate sehemu ya kujichotea fedha za masikini wa nchi hii...haina kazi yoyote ya msingi zaidi ya kuongeza gharama zisizo za lazima.

Kila chuo,idara,halimashauri, wizara au ofisi yoyote ya umma ni lazima iwe na kitengo cha rasilimali watu kinachooangalia pamoja na mambo mengine kuajiri na kufukuza watumishi...sasa halimashauri na ofisi hizo zoote kuna kuna watumishi hao ambao wamefundishwa kumanage human resources,hiyo tume ni kwa ajili ya nini?
 
....Imeundwa na maDHAIFU, ina watendaji wake DHAIFU ili kuendeleza kingdom ya maDHAIFU katika sekta ya umma!
 
huko halmashauri na govt agencies ndo balaa field na ajira ni kama family companies , chunguza pspf,nssf,sumatra,bandari,nhif etc........,labda tusaidiane katika forum hii kupata utaratibu ambao utatoa reasonable assurance on employment fairness in public service.....
 
Back
Top Bottom