Special resolution in TANESCO

SURA SIO SOHO

Member
May 18, 2011
43
10
Hatimaye aliyekua mkuu wa shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Arudishwa kazini. habari ni uhakika kutoka kikao kinachoendelea kati ya PAC, WIZARA NA BODI YA TANESCO. seems huyu Eng alihujumiwa kisiasa.

My quote. Kuna haja ya kuwa na bodi kama hii
 
Ya kweli haya?
 
itakua aibu sana kwa serikali kumrudisha mtu ambae wamemfukuza na hii ni kwa sababu ya pressure kutoka bungeni pia
 
Yaani kuna wakati unaweza hisi kizunguzungu mambo yanavyokwenda!
 
Hatimaye aliyekua mkuu wa shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Arudishwa kazini. habari ni uhakika kutoka kikao kinachoendelea kati ya PAC, WIZARA NA BODI YA TANESCO. seems huyu Eng alihujumiwa kisiasa.

My quote. Kuna haja ya kuwa na bodi kama hii

Rustam kagonga mwamba.
 
Katibu mkuu alipanic baada ya pressure ya Bunge!...Otherwise jamaa katika barua zake alijieleza vizuri sana, na i can see from a mere look of the eye kuwa jamaa yuko very innocent!
 
Niliwahi kuuliza hapa kwamba Engineer Mhando aliondolewa kwa maslahi ya Taifa au kwa maslahi ya Bodi ya Wakurugenzi ya Tanesco
 
mmmmmmmmmmmmmh
hivi hawa viongozi wanafanya maamuzi kwa faida ya watanzania ama matumbo yao binafsi? hizi siasa zitaingilia mambo ya utendaji hadi lini?
 
Is this source reliable??

kuna neno la kiingereza linaitwa "authenticity" (the degree to which one is true to one's own personality) ni muhimu sana maana hiyo source inakuwa ndani yake na mleta habari amelithibitisha hilo sasa unataka nini tena.
 
Niliwahi kuuliza hapa kwamba Engineer Mhando aliondolewa kwa maslahi ya Taifa au kwa maslahi ya Bodi ya Wakurugenzi ya Tanesco

uliuliza swali nzuri sana

moja kwa moja unapata jibu ni maslahi ya watu wa chache wenye nia ya kuhujumu nchi na tanesco kwa ujumla
 
yulealiyedai kuwa yeye ni mbunge na jana alikuja na uzi wake hapa yuk wapi?!!
 
Hatimaye aliyekua mkuu wa shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Arudishwa kazini. habari ni uhakika kutoka kikao kinachoendelea kati ya PAC, WIZARA NA BODI YA TANESCO. seems huyu Eng alihujumiwa kisiasa.

My quote. Kuna haja ya kuwa na bodi kama hii

ningekuwa ni mimi ndiye niliyeandika barua ya kumsimamisha kazi,kitambo sana ningeandika barua ya kuachia ngazi,kulinda heshima
 
Mkuu PakaJimmy saisa ni mchezo mchafu, hivi unafikiri Swai na Mhando wataiva tena chungu kimoja ikiwa jamaa alitaka kumuharibia?????
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom