Je,ni sahihi kuongea na spika BUNGENI huku umeweke mkono mfukoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je,ni sahihi kuongea na spika BUNGENI huku umeweke mkono mfukoni?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Marire, Jul 17, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Wakuu heshima kwenu,leo bungeni wakati wa mtanange kati ka hotuba ya kambi ya upinzani na serekali nilimshudia Werema akiongea na sipika huku ameweka mkono mfukoni,nataka nipate ufafanuzi kama ni heshima?
   
 2. mndwadage

  mndwadage JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 345
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bunge lenyewe halijiheshimu..spika anatumika...utegemee kuheshimiwa.??
   
 3. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,785
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Kwa mwana CCM ni sahihi,lingekua kosa kama ni mbunge wa upinzani!
   
 4. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Bunge letu limepoteza heshima yake siku yingi sana, hivyo sioni ubaya wowote kwa Warema kuongea na Speaker akiwameweka mkono mfukoni.
   
 5. O

  Online Brigade Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  mkurya yule anadharau ile mbaya, kila siku anaongea huku mkono huko mfukoni, pia ana lile tabasamu la dharau analolitoaga akiwa anaitetea seriikali.
   
 6. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Anashikilia nini huko mfukoni? Inawezekana siyo dharau bali ni kuficha kitu si unajua warembo ni wengi ndani ya Bunge?
   
 7. S

  SUWI JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Spika, mwanasheria wote wanatetea mkate wao... hakuna mwenye kutenda haki ndani ya hili bunge uchuro!!... wanaboa men!!:A S 465:
   
 8. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Jali ninachoongea mengine ni akili na serikali ya kichwa changu
   
 9. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  mi naona sawa tu,kwanza wabunge wengi badala ya kuangalia masilah ya wananchi wanaangalia ya chama kwanza,sawa sawa
   
 10. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  mi naona sawa tu,kwanza wabunge wengi badala ya kuangalia masilah ya wananchi wanaangalia ya chama kwanza,sawa sawa
   
 11. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Naskia watu wengi ambao mara kwa mara wanashika mkono mfukoni wanakuwa na shida
   
 12. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Imekuwa kawaida ya Werema kuongea mikono ikiwa mifukoni. Hata siku ile ya hotuba ya Tundu Lissu aliomba miongozo huku mikono ikiwa mifukoni, tena akawa anatumia lugha ya kudhalilisha na kuuzi, kiasi wakati mwingine akawa anaomba samahani kwa kutumia eti "LUGHA KALI" ajabu Sikumsikia Jenister Mhagama akimuomba kufuta hizo kauli zake za JEURI.

  Kama anajeuri aionyeshe kutoka kwenye kichwa chake cha juu, sio hicho kingine anachoshika shika mfukoni.
   
 13. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Kutokana na michango wenu ndio kusema tutegemee kuna siku akina lusinde watakuja ingia bungeni na headphone kama akina dragoba,kwani imekuwa kawaida kuwaona waki chat kwa simu na wengine wakipiga zogo kama wako club
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...