Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola kupitia CCM bungeni july 17 2012 amesema polisi wamtafute Fadhili Kweka mwenye mtandao wa uhalifu ndani ya jeshi la...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
http://www.hlssf.org
0 Reactions
1 Replies
2K Views
HATUA ya Bodi ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kumsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, William Mhando imeibua mvutano kati ya wabunge na Serikali. Mwishoni mwa wiki, bodi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika Jimbo la Rombo linaloongozwa na Mh.Joseph Selasini wa CHADEMA,kuna Kampuni inayoitwa Kili-Water. Kampuni hii inajihusisha na usambazaji na udhibiti wa maji safi na salama kwa wananchi wote...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimepata tetesi kuwa mwaka 2013 wahitimu wa form 6 katika shule kongwe watatakiwa kwenda JKT, Je hili ni kweli? Na je, ni lazima ama hiari kujiunga?
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Kwa nafasi ya Uwaziri Kivuli wa Nishati na Madini, nafahamu kuna ufisadi na ubadhilifu ndani ya TANESCO ambao uchunguzi ni muhimu kwa ajili ya uwajibikaji. Kusimamishwa kwa Mkurugenzi wa...
0 Reactions
1 Replies
901 Views
Nimekuwa mtumishi wa umma kwa miaka 23 sasa, katika kipindi hiki hasa kuanzia awamu ya tatu mpaka sasa mtumishi wa umma asiye aminika na SERIKALI ni mwalimu.sijui nani katufikisha hapa!!! mwalimu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeuota mti ,mti huu ni chotara maana ulitokana na mbegu mbili moja toka Zanzibar na nyingine Tanganyika nakumbuka ilikuwa 1977 ndipo zilipochanganywa ili kupata mbegu moja.Nao ulikua na kuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
17 JULY 2012 Na Reuben Kagaruki WAKATI mchakato wa chaguzi mbalimbali ukiendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuna taarifa kuwa katika Wilaya ya Hanang’, mkoani Manyara, hali si...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ninaisikitia sana nchi yangu kwa kuwa na maamuzi ambayo hata kichaa hawezi kuyafanya. Serikali inasema mgomo umeisha, wakati waliogoma wamefukuzwa kazi, sasa mgomo umeishaje? Sasa kwenye hospitali...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
· Criminalizationand/or delegitimisation of the state: endemic corruption or profiteering by ruling elites and resistance to transparency, accountability and political representation...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu Wana JF; Mimi nimefuatilia Vikao vya bunge la Bajeti vinavyoendelea lakini napenda kusema kuwa ninapata kigugumizi sana katika mijadala iliyopo Bungeni na jinsi Bajeti zinazowakilishwa...
1 Reactions
0 Replies
922 Views
Tangu nimeanza kufuatilia mambo ya uchumi na siasa za Tanzania mwanzoni mwa miaka ya 1990, sijawahi kusikia kuwa bajeti ya nchi imetekelezwa anagalau kwa kiwango cha asilimia 90%. Kubwa zaidi...
0 Reactions
1 Replies
963 Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa, ameeleza kuwa wapinzani wa kisiasa wa chama hicho wameghushi waraka wenye sahihi yake ambao unakihusisha chama...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Angalieni, tangu Mh Mwigulu apeewe wadhifa mkubwa ndani ya chama chake na kusimamia chaguzi ndogo, mambo yamekuwa kama yafuatavyo; 1. Igunga, alikuwa ndie mratibu wa kampeni hiyo kwa chama...
13 Reactions
110 Replies
9K Views
leo raisi mstafu wa afrika kusini Nelson Mandela anatimiza miaka 94.. utaratibu wa kusherekea ni kutumia dakika 67 kuitumikia jamii...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tanzania: land rights v biofuel development – in pictures Biofuels were once seen as a sustainable alternative to some fossil fuels, but evidence shows demand in EU countries for biofuels...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Police cannot pick and choose which death threats to investigate, not post-Ulimboka By JENERALI ULIMWENGU Posted Saturday, July 14 2012 at 15:51 THE EAST AFRICAN When two top opposition...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
http://youtu.be/7nTWMnYSq_A
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kamanda wa Polisi wa kanda ya Dar es Salaam, Suleiman Kova Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limesema kwamba haliwezi kuendelea kuongelea suala la mtuhumiwa Joshua Mhindi (31)...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom