Kwanini kwenye ugawaji wa viwanja,majina ya viongozi wa CCM ndio wanapata? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini kwenye ugawaji wa viwanja,majina ya viongozi wa CCM ndio wanapata?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by King Kong III, Jul 17, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Hi ma GT,
  Nimejaribua kufatilia majina ya watu wanaopata viwanja vya kupimwa wengi wanaopata wanakua ni viongozi wa CCM au watu wanaonuafahika na CCM,sample niliyokuja nayo ni ya Gezaulole 1800 Project! Source:Temeke Municipal Council website

  S/N:
  2.Mark Mwandosya
  7.Abbas Mtemvu
  24.A.F Luambano-M/kit wa mtaa CCM
  30.A.Kitwana Kondo
  31.Aggrey Mwamri
  87.Asha Meck Sadiki
  147.Dotto Msawa--Diwan CCM
  218.Dr Faustine Ndungulile
  242.George Mkuchika
  258.Hawa Ghasia
  288.Hasheem Thabeet(Hashim Thabit)
  304.Idd Azan
  344.John M. Cheyo--CCM D
  389.Khalfan Kikwete
  458.Michael Pombe Magufuli
  553.Yusuf Mzee
  580.Pindi Chana
  583.Ramadhan Dau
  619.Said Meck Sadiki
  672.Sitti Abbas Mtemvu
  675.Sophia Simba
  7O1.Victor Geogre Mkuchika
  715.William mhando
  724.Yusuf Mustafa Yakub

  Nawasilisha
   
 2. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  acha tu baba... hao ndo wenye hii nchi.. wengine sisi tungalie tu.... yaani inauma sana.... lakini mwisho waja....
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Nimeangalia labda nitapata mtu yeyote wa CDM sijaona,hawa mafisadi wanajilimbikizia mali sana kwa ku-lob system,mwisho wao waja tu TCDM 2015
   
 4. mpenda

  mpenda JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 250
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kwani majina ya waliopata awamu ya 2 yametoka??
   
 5. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Huu ni ubinafsi wa hali ya juu kwa viongozi wa ccm hata hawaoni aibu. Awali ya yote wote hawa wanaishi kwenye nyumba zao na bado wanakomalia viwanja ambavyo sisi walala hoi tunalilia kupewa ili nasi tupate mahali pa kujisetili!!
   
 6. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Haya majina mbona waliyakataaaaaaa, au yametoka tena?

   
 7. s

  slufay JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kwanza ccm ni chama tawala halafu kirefu chake ni chuka chako mapema; nyie mtabaki kula kwamacho
   
 8. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Halafu Nape anataka TUIPENDE CCM Nyoooooooooooooooooooooooooo
   
 9. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  "Ukitaka Mambo yako Yakunyookee Shabikia CCM" By Nape
   
Loading...