Helikopta iliotoka tanzania bara kuzuia uamsho kuchoma makanisa imeishia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Helikopta iliotoka tanzania bara kuzuia uamsho kuchoma makanisa imeishia wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Jul 19, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kwanini haikutumika jana kupunguza idadi ya Vifo?
  Badala yake zilitumika zaidi boti za Kutoka Zanzibar ambapo kwa kiasi kikubwa zilichelewa kufika.
  kama ingalitumika Helikopta iliotumika kuzuia Uamsho hali isingefikia hivyo ilivyofikia
   
 2. N

  Ndole JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kaka hizo helikopita ziko kwa ajili ya kupiga watu tu na wala si kuwalinda. Usitegemee hao jamaa(polisi) waokoe watu hata siku moja.
   
 3. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Hivi?
  Hata katika masuala ya kufa weye ni suala la muungano?
  Meli imesajiliwa wapi?
  Ukaguzi inafanyiwa wapi

  Weye waona uroda kupanda tu chombo kibove, uzembe na matokeo yake ni suala la muungano.
   
Loading...