Matusi ya CDM Singida yako wapi tulinganishe na ya Lusinde?

Njaare

JF-Expert Member
Sep 26, 2010
1,081
275
Wana JF,

Viongozi wa CDM waliokuwa Singida wanatuhumiwa kutoa matusi kwenye mkutano wao. Naomba kama kuna video ya hayo matusi tuilinganishe na yale ya Lusinde ya Arumeru.
 
Mkuu CDM hawajatukana hata kidogo walisema ukweli kuwa Mwigulu ni Mpumbavu kwasababu anafanya uzinzi na mke wa kada mwenzake na hiyo ni kweli kwasababu alifumaniwa wakati wa kampeni za jimbo la Igunga
 
Kumbe matusi yenyewe ndo hayo??? Kweli POLISI wanataka kutumika kwa maslahi ya CCM.... Mimi nlijua matusi yenyewe yanafanana na yale aliyoyatoa Lusinde kule Arumeru!!
 
Wana JF,

Viongozi wa CDM waliokuwa Singida wanatuhumiwa kutoa matusi kwenye mkutano wao. Naomba kama kuna video ya hayo matusi tuilinganishe na yale ya Lusinde ya Arumeru.

Hayo matusi yalikuwa mabaya sana yanapaswa kuwekwa kule Mambo ya Kikubwa
 
Back
Top Bottom