Jairo kuburuzwa mahakamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jairo kuburuzwa mahakamani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Salary Slip, Jul 19, 2012.

 1. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,018
  Likes Received: 37,753
  Trophy Points: 280
  Moja ya taarifa ktk gazeti la mwananchi la leo trh 19/07/2012 inaonyesha kuwa aliekuwa katibu mkuu wa wizra ya nishati na madini David Jairo atafikishwa mahakamani.
  Habari zaidi soma gazeti husika.
   
 2. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Liko wapi?
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Si ukanunue unategemea liwekwe hapa!!!
   
 4. aye

  aye JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,989
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Wamembeba wee wameshindwa akimaliza huyo apelekwe na BNyoni pia!baada hapo watafuata kina Chambo!!na Mrisho
   
 6. KV LONDON

  KV LONDON JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 904
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Huo ni usanii tu, hamna kesi hapo...
   
 7. N

  Nambombe Senior Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo ndio ccm
   
 8. I

  Isiri Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Hapo ni picha nyingine inaanza, sasa wanataka kumsafisha na kumlipa mamilioni/bilioni ya shilingi za umma, hii itaishia kama ya Zombe, Vijisenti n.k Wajinga ndio waliwao. Baada ya kusafishwa na mahakama atapewa Ubalozi kama kawaida yetu. Bi Kirobo ameshaifukia suala lenyewe Bungeni, Watanzania wameshasau!!!, Huu ndio uzuri wa watanzania. Bravo Watanzania tujipongeze:israel:
   
Loading...