Picha za matukio mbalimbali ya ajali ya MV Skagit katika Bandari ya Malindi Zanzibar leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha za matukio mbalimbali ya ajali ya MV Skagit katika Bandari ya Malindi Zanzibar leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gumzo, Jul 18, 2012.

 1. G

  Gumzo JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Meli ya Mv Skagit iliyokuwa safarini kutoka Dar kuelekea Zanzibar imezama majira ya saa nane mchana hii leo katika maeneo Pungume na Chumbe baada ya kukumbwa na upepo mkali.

  Meli hiyo inayosadikiwa kuwa na abiria 250 inasemekana imepindukia upande mmoja na huku abiria wengi wakiweza kuokolewa kutokana na jitihada mbali mbali kupitia vile vile msaada wa boti za Mv Kilimanjaro, Tug ya Bandari na vyombo vyengine.

  Mpaka tunandika taarifa hizi ni maiti tatu zilikwishapatikana na kiasi cha abiria 150 wameokolewa na waliojeruhiwa wanatibiwa katika Hospitali ya Mnazimmoja.

  Taarifa zinaeleza kwamba kulikuwa na watoto takriban 30 na Watalii kutoka nchi mbali mbali wafikao kumi

  KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA
  Matukio Mbalimbali ya Ajali ya MV Skagit katika Bandari ya Malindi Zanzibar Leo
   
 2. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Hii ni ajali kubwa sana. Ni janga la kitaifa!
  Poleni sana mliofikwa na misiba.
   
 3. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Leteni picha zaidi
   
 4. B

  Bisek Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo ndio Tanzania ya dhaifu na utawala wake,they usually do not learn from mistakes,wana vichwa vigumu vilivojaa ulafi na kujilimbikizia mali huku wanasahau wajibu wao wa kuhakikisha usalama wa raia katika maeneo mbalimbali
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu hiyo ni picha gani? mbona unajaza server kwa vitu vya kijinga halafu umeingia mitini mod msukumie ban huyu
   
 6. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  ziko wapi?
   
 7. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mpuuzi huyu,kwanza jina la meli limekosea,apigwe ban bhana.
   
 8. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Hakuna pa kubofya bana....umekurupuka!
   
Loading...