Ni Heri Utafunwe na Kansa kuliko kutafunwa na Dhambi ya Damu ya watanzania wasio na atia. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Heri Utafunwe na Kansa kuliko kutafunwa na Dhambi ya Damu ya watanzania wasio na atia.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zubedayo_mchuzi, Jul 19, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Dhambi mbaya tena mbaya sana,heri utafunwe na Kansa ikikumaliza inakumaliza peke yako,lakini dhambi inafata kizazi hadi kizazi.
  Yanayotokea ni Dhambi ya waliondoka duniani kwa Maslah ya wachache.Yanajulikana na kama mliopewa madaraka hamtarudi nyuma na kutubu kamwe Tanzania haitakuwa salama.Ametekwa Dr ulimboka,waliohusika mpaka leo ni sinema,ametekwa juzi mwanasheria wa Nemc kapgwa wahusika hawajakamatwa,jana meli imezama kwa uzembe wa wachache,Meli haina hata ofisi,watu hawajasahau Nungwi limekuja hili,Hii Tanzania nani kairoga?
  Damu za watu zinakwenda wapi? Kwanini watu wapate shida na mateso kwa maslah ya wachache,

  Ni heri kansa kuliko DHAMBI YA UBAGUZI,UONEVU NA UHAI WA MTU.
   
Loading...