Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hayo yalisemwa Jana na mama Hellen raisi aw Liberia JK alilijua ilo na amekaidi kwa kuinyima wizara ya Afya fungu stahiki Sijui alijisikiaje Maana mama aw watu alitaja nchi ambao zimeweza ilo...
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Miaka 16 iliyopita Mv. Bukoba ilizika zaidi ya watu 1,000 wakatwambia haitajirudia tena. Na miezi kadhaa imepita Mv. Isle lender Ikazika zaidi ya watu 400 wakatwambia haitajirudia tena Jana...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni baada ya rufaa yake kutupiliwa mbali na mahakama kuu Iringa leo hii. kwenye rufaa hiyo namba 13/2010 wakili wa Makalebela alikuwa akidai kuwa hati ya mashtaka haitengenezi kosa la jinai. hii ni...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu salaam. Naomba tujadili kama GT. Tuweke tofauti zetu za kiitikadi pamoja na vyama pembeni. Vyombo vya dola hasa mahakama na polisi, wapo kwa ajili au faida ya nani?? Je, ni sisi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nape amekamilisha operesheni lipa deni na kueleza kuwa haikukigawa chama kama baadhi ya watu wanavyodai. My concern: Hivi operesheni hii itakamilikaje wakati bado tunawadai?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Udugu gani huu tulionao. Mwaka jana walipokufa watu 2000, burudani upande wapili wa Muungano ziliendelea kama kawaida. Leo hii inapotokea ajali nyengine Spika wa Bunge anaona bora Bunge liendelee...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Boat hii iliuzwa kwa Tanzania mwaka 2011 na kwa taarifa zaidi fuatilieni thread hii iliyorushwa humuhumu Jamvini...
2 Reactions
70 Replies
7K Views
Hebu jisomee mwenyewe halafu uamue.... Washington state sells two of its passenger ferries to Tanzania. By Susan Gilmore...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana Jf; kwa sasa kuna malalamiko mengi juu ya utendaji wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa madai kuwa vina tetea chama tawala na kufanya kazi against wapinzani especialy CDM....Kama...
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akiwa na Viongozi Wakuu wa Serikali alipofika katika Ofisi za Shirika la Bandari, Malindi Unguja kupata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mhe. President wa Tanzania; leo nimekusikia kupitia ITV, naomba ninukuu......"kwakuwa tumeimaliza malaria huko Zanzibar, ni bora tukaimaliza na huku bara maana mtu anaweza kwenda Zanzibar kutoka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana jamvi katiba mpya ielekeze huu ukomo ili viongozi wasilewe madaraka. Viongozi wengi wanajiona wao ndio Serikali wao ndio kila kitu. Baada ya hiyo hatutakuwa na watu kibao mule ndani, toka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Je,ajali ya vyombo vya majini zimeshindwa kudhibitiwa na viongozi wa kiserikali? Viongozi mko wapi wakati huu boti mbili;moja ya maiti na nyingine ya wahanga zikielekea bandari ya Zanzibar? Maiti...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
www.bbcnews Continue reading the main story Related Stories Tanzania country profile Zanzibar profile A Tanzanian ferry carrying at...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mfanyakazi mwenzetu Gerald Ngedabanga amekamatwa na polisi wa doria waliokuwa kwenye gari aina ya Land Cruiser lenye namba za usajili za Uingereza. Walimsimamisha maeneo ya ufukwe wa Ocean Road...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Obama worth 10million dollars and Romney 300 million dollar .kikwete 1million dollar
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Nachojua hang with rich successful people you will be rich,hang around negative poor destructive people you will be poor .
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Ok this is desperation and boiling point
0 Reactions
0 Replies
785 Views
Awapongeza viongoz mbl mbl wa kitaifa kwa ushirikiano kipindi cha ajali na msiba... 1. Pongezi......Mwenyezi Mungu, CHADEMA, Jakaya Kikwete, Edward Lowasa, William Lukuvi, Anna Makinda, Agrey...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Anne Makinda, Job Ndugai waone jinsi Spika wa House of Commons, UK anavyotaabika kuwathibiti wabunge hadi inafika mahala mtu anashindwa kuonga na kukaa mwenyewe kwa sababu ya kuzomewa na vituko na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom