Ajali zetu nyingi ni uzembe wetu wote kama taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali zetu nyingi ni uzembe wetu wote kama taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkwawa, Jul 19, 2012.

 1. Mkwawa

  Mkwawa JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 160
  Uzembe wa kwanza hatufuati sheria za usalama
  Uzembe wa pili sheria hazizingatiwi na wanaozisimamia wote wako likizo kwa rushwa na uhujumu.
  Uzembe wa tatu serikali haitoi adhabu inayostahili kwa wale wanaokiuka usalama wa vyombo, abiria na mali zao
  Uzembe mkubwa hatupendi maisha yetu na wengine
  Kila mtu hajali sio kiongozi au wananchi

  Vyombo vya anga ni vikukuu wala havikaguliwi, meli, ferries, boats nk hawafuati sheria za ujazo, matengenezo nk matokeo yake ndio tunayoona kila siku.
  Magari yetu hayakaguliwi mengi hayafai kupakia abiria sababu za umasikini tunazotumia ndizo zinatuuwa kila siku.

  Tukiacha uvivu wa kufikiri na kutenda tutapona.
   
Loading...