Vurugu korogwe.!

hili jukwaa nalipenda, lanipa raha! kila mtu hupost chake, kwa muda wake. ni sawa na kule kwetu chi chat! kwi kwi kwi!
 
Junior Member Array

Join Date : 8th July 2012
Posts : 6
Rep Power : 303
Likes Received1
Likes Given0

[h=2]
icon1.png
Vurugu korogwe ni BALAA[/h] Kutokana na ujambazi na uuwaji wa madereva wa bodaboda unaotokea mara kwa mara hapa korogwe, madereva hao wameamua kusaka mtandao wa majambazi na kuua mmoja nakuendelea na kusaka wengine ambao pia wanawafahamu lakini polisi wamewazuia na ndipo mabom na risasi zikarindima mbaya sina hakika na majeruhi kwani raia nao wamebeba silaha za jadi, nimelazimika kukimbilia nje kidogo ya mji, kwamkole kukwepa adha hiyo
 
Kuna vurugu za waendesha pikipiki wamewauwa kwa kuwachoma moto wezi wa pikipiki wanadai wamechoka kuuliwa na kunyanganywa pikipiki zao .

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Kuna vurugu za waendesha pikipiki wamewauwa kwa kuwachoma moto wezi wa pikipiki wanadai wamechoka kuuliwa na kunyanganywa pikipiki zao .

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

so upo eneo la tukio mkuu au' tupe latest kama zapatikana
 
Back
Top Bottom