Sinema Ya Dr Ulimboka Inachukua Sura mpya. Meli Inazama Znz. Akili Za Watanzania Zinaamia Huko

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Juzi tu tumeweka hii post tukiwataarifu kwamba kuna tukio litatokea hivi karibuni ili kuipa serikali muda wa kupumua. Tukio ambalo kweli linaamisha fikra za watanzania ni Kuzama kwa meli Zanzibar. Soma Zaidi alafu ujiamulie. Hii nchi imekwisha

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/294185-sinema-ya-tiss;-babu-wa-loliondo-part-ii.html
UPDATE: Juzi Temeweka Hii Post Kuhusu Tukio Kubwa Linalokuja, Leo Janga la Meli Kuzama Zanzibar... 1+1=2...

Wanajamvini, tunapenda kuendelea kuwajuza mtiririko wa njama chafu za TISS. Mpango mzima ni kuanzisha kitu ambacho kitawafanya watanzania walekezo mawazo yao kwenye tukio mpya kwani ni wepesi wa kusahau huku serikali ikijipanga. Hii ni kutokana na serikali kuwa kwenye hali mbaya; kuchukiwa na wananchi kutokana na kitendo cha kumteka na kumtesa Dr. Ulimboka. Kwa hiyo TISS wanapanga mambo yafuatayo.

  • Kumpoteza Dr. Ulimboka moja kwa moja. Either kumshawishi asirudi nchini, kummaliza au kumpa hela au cheo kikubwa ili akirudi asiweze kuongea chochote na hata pia kuwasaliti madaktari wenzake. Tayari kuna wanausalama kutoka nchi moja kusini mwa Afrika inayoisaidia TISS kuunda hizi njama. Waliowekwa kushugulikia maswla ya ulimboka ni majasusi wabaya hasa ndani ya TISS. Baadhi yao ni madaktari wakongwe. Yaani ni watu wenye uzoefu mkubwa mno
  • Kuna gesi/chemical ambayo anaweza kupuliziwa asiweze kukumbuka chochote pale watakapofanikiwa kumfikia. hii itatumika pale watakapoona kwamba kummaliza kunaweza kuwaangusha kutoka madarakani
  • Kwa vile watanzania ni wepesi kusahau, kuna mkakati wa kuanzisha kitu kama Babu Wa loliondo kuelekeza akili za watu huko huku serikali ikijipanga
    [*]Mpango wa kuwasingizia majambazi sugu pamoja na mchina bado huko pale pale.
    [*]Wanajaribu kupanga namna ya kuwausisha viongozi wa Upinzani na uchochezi au maafa ya raia, kiongozi ili vurugu zianze huku chama cha upinzani kikibebeshwa mzingo
Kwa hiyo wazalendo, kaeni mkao wa kula. Msidanganyike, chochote kikitokea siku za hapa karibuni.
 
Kwa hiyo wazalendo, kaeni mkao wa kula. Msidanganyike, chochote kikitokea siku za hapa karibuni. Mjue ni mchezo wa TISS, Ikulu na polisi…….Tuna wazalendo ndani ya TISS kwa hiyo msiwe na shaka tutamwaga hadharani kila jaribio watakao endelea kupanga. Tupo wengi tunaotaka mabadiliko. Hata ndani ya TISS 80% wanahitaji mabadiliko kwenye uongozi.

Bwashee, hiyo kitu hapo in red ni treasonable!
Anglia sana nyuma ya bega lako!!
 
Kwa kweli hizi hujuma zinazofanywa na CHADEMA ili tu kupandikiza chuki kwa wananchi dhidi ya Serikali, chama cha Mapinduzi na Rais DR Alhaji Jakaya Mrisho Kikwete sio nzuri, kwanza wameua mtu Iramba na sasa wamezamisha Meli.
 
Umeelewa mada kwele mkuu?
 
Siungi mkono hoja. Kwa mwendo huu kesho jua likigoma kuchomoza utasema hujuma. Sio kila jambo lina mkono wa mtu.
 
Vilaza huwa hawatambuliwi kwa vyeti wanavyotunukiwa bali kwa uwezo wao wa ku 'urgue' ,hivi mleta 'kichekesho' hiki anataka kutuaminisha kuwa Tukio la kuteswa kwa ulimboka ni kubwa sana kuliko kuzama Meli yenye watu zaid ya 200?.Kama hana kumbukumbu tunamkumbusha kuwa alokuwa anashadadia Habari ya Babu wa Loliondo ni KKKt chini ya Askof Laizer wakafikia kuipiga biti Serikal isithubutu kumzuia Babu wa Loliondo leo anaigeuzia Serikali kibao ndo imemtengeneza babu? Ulimboka kateswa na kanyanyaswa isivyo kisheria wala haikubaliki lakini uzito wake unapotea kadri wana siasa uchwara wanavyojaribu kulibeba kama walivojaribu kulibeba suala la mgomo wa madaktari wa Mara ya Pili matokeo yake mvuto wa hoja za madaktari ukamezwa na hoka za Kisiasa.migomo kwenye nchi zilizofanikiwa ilitokana na wanasiasa kujiweka pembeni wakawaacha wanachi wapambane na serikali sasa hicho ndicho kinachokosekana huko Tz kila ishuu utamuona mwanasiasa mbio kwenye Press Conferences,iko wapi migomo ya wanafunzi wa elimu ya juu? Iko wapi migomo ya walimu,iko wap migomo ya wafanyakaz na sasa mgomo wa Madaktari unapotea!!
 
Kwa kweli hizi hujuma zinazofanywa na CHADEMA ili tu kupandikiza chuki kwa wananchi dhidi ya Serikali, chama cha Mapinduzi na Rais DR Alhaji Jakaya Mrisho Kikwete sio nzuri, kwanza wameua mtu Iramba na sasa wamezamisha Meli.
Upepo mkali na dhoruba iliyoipiga io meli uliletwa na CDM, kweli mfa maji haachi kutapatapa.................hata kutumia io kichwa yako nayo ni gharama kubwa? pole
 
Kwa kweli hizi hujuma zinazofanywa na CHADEMA ili tu kupandikiza chuki kwa wananchi dhidi ya Serikali, chama cha Mapinduzi na Rais DR Alhaji Jakaya Mrisho Kikwete sio nzuri, kwanza wameua mtu Iramba na sasa wamezamisha Meli.

Hata Idd Amin alikuwa MC ,VC,DR ALHAJ NA PIA alikuwa Field marshal na watu walikufa kwa sana kama tulivoanza sasa Tz chini ya alhaji
 
Kwa taarifa yako hapa JF watu wote wana uelewa mzuri hizi propaganda zako unazotaka kutuamisha ni za kibwege sana!
 
Vilaza huwa hawatambuliwi kwa vyeti wanavyotunukiwa bali kwa uwezo wao wa ku 'urgue' ,hivi mleta 'kichekesho' hiki anataka kutuaminisha kuwa Tukio la kuteswa kwa ulimboka ni kubwa sana kuliko kuzama Meli yenye watu zaid ya 200?.Kama hana kumbukumbu tunamkumbusha kuwa alokuwa anashadadia Habari ya Babu wa Loliondo ni KKKt chini ya Askof Laizer wakafikia kuipiga biti Serikal isithubutu kumzuia Babu wa Loliondo leo anaigeuzia Serikali kibao ndo imemtengeneza babu? Ulimboka kateswa na kanyanyaswa isivyo kisheria wala haikubaliki lakini uzito wake unapotea kadri wana siasa uchwara wanavyojaribu kulibeba kama walivojaribu kulibeba suala la mgomo wa madaktari wa Mara ya Pili matokeo yake mvuto wa hoja za madaktari ukamezwa na hoka za Kisiasa.migomo kwenye nchi zilizofanikiwa ilitokana na wanasiasa kujiweka pembeni wakawaacha wanachi wapambane na serikali sasa hicho ndicho kinachokosekana huko Tz kila ishuu utamuona mwanasiasa mbio kwenye Press Conferences,iko wapi migomo ya wanafunzi wa elimu ya juu? Iko wapi migomo ya walimu,iko wap migomo ya wafanyakaz na sasa mgomo wa Madaktari unapotea!!
Ni Mwanasiasa gani aliyeingia mgomo wa Madaktari? au ni wanasiasa wenye mlengo upi? unaweza kuwataja? Unaweza vipi kuangalia Mgomo wa Madaktari,walimu na kundi lingine la aina lolote lile kwa jicho lisilo la kisiasa?
 
Back
Top Bottom