Namba za simu za wafuatao. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namba za simu za wafuatao.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ntamaholo, Jul 19, 2012.

 1. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  wakuu salamuni.

  ili kuibana serikali, inatakiwa tushirikiane na wabunge wale tunaoamini kuwa watakuwa wasemaji wa wananchi. kuna jamaa kaorodhesha hoja mbalimbali lakini hana namba za mtu anayeweza kumtumia hoja hizo ili kuibana serikali. Kataja majina ya wabunge ambao anadhani wanaweza kuwa wasemaji wazuri wa hoja hizo, kama kuna mtu ana namba za waheshimiwa hao, basi anipe namba zao ili awatumie hoja hizo.

  1. Joshua Nassar-CDM
  2. Deo Filikunjombe-CCM
  3. Vicent Nyerere-CDM
  4. Ezekiel Wenje-CDM
  5. Highness Kiwia-CDM

  NB. Kama una namba za mbunge unayeamini atawasilisha hoja vizuri, basi itakuwa vizuri ukitupa ili apewe hoja hizo.

  Natanguliza hsukrani
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  tunaruhusiwa kuzijua hoja zenyewe mkuu?
   
 3. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  na kweli unaweza anika namba ya mtu wengine wakawatukana tu au vitisho mi ntakupeni ya prof majimarefu
   
 4. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  kutukana? ukitukana unajisababishia kesi ambayo inaweza kukugharimu maisha. simu zilizo nyingi zimesajiliwa, hivyo usitegee kutukanwa kwa mheshimiwa.

  kama wakitukanwa, basi wewe chukua hii id yangu, halafu nipigwe ban ya maisha, nisiwe member JF.
   
 5. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Nenda kwenye website ya Bunge utazikuta namba zao. Ingawa wana namba zaidi ya moja.

  Pia usimsahau Kangi Lugola Mbunge wa Mwibara (CCM), huyu naye haogopi kusema UKWELI kama una vithibitisho.
   
 6. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Ninaweza kukup. sms, kama utahitaji, lakini kutokana na anayehitaji namba hizo, angependa iwe siri kati yake na anayempa taarifa hizo
   
 7. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  nakushukuru sana muungwana, ngoja niende haraka sana huko
   
 8. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Acha magumashi....kwanini usiziweke hoja hizo hapa sisi wenye namba hizo tuwajuze?? Wewe tatizo lako si waziseme hoja hizo?? Au ni lazima WEWE NDO UWAPE?? kama ni lazima wewe ndo uwape....HAKUNA HOJA HAPO. Jaribio lako limeshindwa.
   
 9. N

  NICE LAMECK JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nenda pale mjengoni utapata
   
 10. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  nakushukuru kwa mchango wako, tayari naendelea kuzipata kupitia mtandao wa bunge
   
 11. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Sasa ulikuja kutuomba sisi za nini?? Tena najuta kupita kwenye uzi huu!!! Usio na mashiko,....mbona sijaona ukinipigia mpaka sasa??
   
 12. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  shika hii ya wasira - 0716589963
   
 13. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,741
  Trophy Points: 280
  Weka hizo hoja kwanza tuzione!
   
 14. M

  Mdwenke Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kiboko yao ni Mwigulu, mcheki hapa 0718008888
   
 15. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Wassira hawezi kujikanyaga mwenyewe, halafu ni mara chache yeye kuchangia, yeye ni serikali, anatakiwa kukumbushwa wapi ameyumba ili yeye na wenzake wajirekebishe kwa manufaa ya TAIFA. Hata hivyo ni kushukuru kwa kujali mkuu
   
 16. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Bobuk, kesha maliza kila kitu. nakushukuru mlangila
   
 17. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  weka hoja hizo hapa harafu wenye mawasiliano nao watawafikishia, usiombe namba za watu hewani kama hapa. inawezekana pia wamo humu JF na ukiweka hoja zako tu, tayari zimewafikia
   
 18. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 19. unknown animal

  unknown animal JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ni hoja gani hizo mkubwa kazi,coz at the end of the day hatushangai kuckia mtu yuko jumba bovu
   
 20. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #20
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na hao wote, ya kuwa wanaweza kuwa wawasilishaji wazuri wa hoja zinazoweza kuibana serikali lkn siyo Nassari na Wenje,hawa wawili I doubt
   
Loading...